Vijana wa Bodaboda na Bajaji wana matatizo gani?

CCM wanawadanganya kwa kuwaita Maafisa Usafirishaji🤣🤣🤣
 
Solution moya wapo ni pkpk zitengenezwe kwa uwezo mdogo wa cc 100 na speed peak ni 69kmh

Sasa pkpk ni 220cc, boxa 125cc timing chain zingine 150cc timing pia, speed 120mph unategemea nini kifanyike.

Huwezi kuzuia pkpk na akili za boda ila unaweza kuwathibiti uzembe, kupunguza madhara au vifo kwa speed.

Umesahau magari yalifungiwa vingamuzi, speed governer, speed meter, torch, traffic vyote ni kudhibiti mwendo kasi, yaani speed mph.
Shida sio leseni wala elimu ww zuia speed kwa kudhibiti pkpk zinazoingia nchini kwa matumizi ya kawaida mwisho cc100 na speed 70 au 80 tu hyo ndio mwisho wa speed
 
Sasa mkuu,japo tumeongelea pikipiki,ukija upande wa magari makubwa,vifo vingi vinatokana na nini?
Hiyo elimu ni mhimu. Kwa sababu,ukishajua chombo kinafanyaje kazi, usipoepuka ajari,utajua hata kukitunza. Waendesha pikipiki, akiwa barabarani,hafikilii kwamba anaekuja mbele yake au anaempita nae anatembea. Hizo akili hawana. Bila kufundishwa unadhani watafanyaje!!! Kudhibiti sawa,lakini,kwa nini mtu hana anataka aforce pikipiki ndogo itembee kama kubwa.
 
Mkuu je kwanini baiskeli hafanyi kama boda boda, kwamba baskeli wana elimu zaidi?
Naturally baiskeli tyr ilishalimitiwa uwezo wa kufanya hvyo wafanyavyo bodaboda, mwisho speed 40 hata ufosi vp haivuki, unaanzaje kuovatek mtu anayeovertake pia kwa speed 40. Hv unatambua kuna boxer ina speed 180mph na kuna gari zina speed mwisho 120-180 pia. Kwanini boda asijilinganishe na gari ya namna hyo. Hujakutana na kinglion yenye cc220 na speed 190mpk.
Hvi vitu ni hatari sema siasa zinafanya viwe fresh fresh tu kikubwa kodi bandalini na boss mwenye pikioiki zake 200 mjini hapa aongeze hesabu, lake oil ikue na watawala waneemeke
 
Kwa hili,tutabishana usiku kucha,na mifano juu. Nachokwambia,kubali kataa,mfanyabiashara aliesomea na ambae hajasoma,wote wanauza. Ila,hakika mbinu na uelewa ni tofauti. Ukimchukuwa mfanyakazi wa hoteli,ambaye hajasoma,na aliesomea Hotel management,ni watu wawili. Hivyo,waendesha pikipiki. Kwa alieelewa,anajua hesabu za barabrani vizuri. Wapi aovertake,wapi asimame,vipi akate kona. Achana na haya majinga ya kichina,unayodai yanakimbia. Siku wakiruhusu pikipiki za umeme,speed ya zaidi ya 300km/h, utashuhudia vifo kila dakika.
Acha tu nikupe mfano mmoja,wa nchi jirani, Rwanda. Ulizia vigezo vya kuendesha bodaboda mjini au sehemu za watu wengi. Na inasaidia nini. Na waliwezaje? Kingine, pia ni umri. Ukifatilia,ajali nyingi zinaepukika. Sana tu. Lakini,utakuta vijana wengi ndo wanakufa na kubaki na ulemavu.

Hivi, kwa nini kwenye gari,dereva wa awali,anajifunzia barabarani? Si wapo waliojifunzia mtaani? Wale watu wanatofautiana. Na baskeli uliyoongerea,si chombo cha moto.
Na kama unapinga, unadhani alieanzisha shelia za barabara alikuwa mjinga? Kama ni hivo, basi ndo maana badhi wakiona taa zimewaka nyekundu,wao huunga tu. Anakimbia, na huko anatokea mwingine aliyeruhusiwa na taa,paaaap.
 
Back
Top Bottom