Mkuu je kwanini baiskeli hafanyi kama boda boda, kwamba baskeli wana elimu zaidi?
Naturally baiskeli tyr ilishalimitiwa uwezo wa kufanya hvyo wafanyavyo bodaboda, mwisho speed 40 hata ufosi vp haivuki, unaanzaje kuovatek mtu anayeovertake pia kwa speed 40. Hv unatambua kuna boxer ina speed 180mph na kuna gari zina speed mwisho 120-180 pia. Kwanini boda asijilinganishe na gari ya namna hyo. Hujakutana na kinglion yenye cc220 na speed 190mpk.
Hvi vitu ni hatari sema siasa zinafanya viwe fresh fresh tu kikubwa kodi bandalini na boss mwenye pikioiki zake 200 mjini hapa aongeze hesabu, lake oil ikue na watawala waneemeke
Kwa hili,tutabishana usiku kucha,na mifano juu. Nachokwambia,kubali kataa,mfanyabiashara aliesomea na ambae hajasoma,wote wanauza. Ila,hakika mbinu na uelewa ni tofauti. Ukimchukuwa mfanyakazi wa hoteli,ambaye hajasoma,na aliesomea Hotel management,ni watu wawili. Hivyo,waendesha pikipiki. Kwa alieelewa,anajua hesabu za barabrani vizuri. Wapi aovertake,wapi asimame,vipi akate kona. Achana na haya majinga ya kichina,unayodai yanakimbia. Siku wakiruhusu pikipiki za umeme,speed ya zaidi ya 300km/h, utashuhudia vifo kila dakika.
Acha tu nikupe mfano mmoja,wa nchi jirani, Rwanda. Ulizia vigezo vya kuendesha bodaboda mjini au sehemu za watu wengi. Na inasaidia nini. Na waliwezaje? Kingine, pia ni umri. Ukifatilia,ajali nyingi zinaepukika. Sana tu. Lakini,utakuta vijana wengi ndo wanakufa na kubaki na ulemavu.
Hivi, kwa nini kwenye gari,dereva wa awali,anajifunzia barabarani? Si wapo waliojifunzia mtaani? Wale watu wanatofautiana. Na baskeli uliyoongerea,si chombo cha moto.
Na kama unapinga, unadhani alieanzisha shelia za barabara alikuwa mjinga? Kama ni hivo, basi ndo maana badhi wakiona taa zimewaka nyekundu,wao huunga tu. Anakimbia, na huko anatokea mwingine aliyeruhusiwa na taa,paaaap.