Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu.

Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho.

Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc.

Sawa haujajenga, hauna gari, hauna kazi, hauna nguo nzuri, hausuki kama rafiki zako, hautembei na bwana wenye pesa kama rafiki yako, haujamjengea mama ako, hauli watoto wazuri ila all in all inakupunguziaje fursa ya maisha na uzima wako wa kuendelea kupambana?

Linda tobo lako
Linda utu wako
Linda heshima yako
Linda furaha yako

Free my nigga Eli Cohen naona mods wamemuweka kiziuzini😂😂
 
Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu.

Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho.

Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc.

Sawa haujajenga, hauna gari, hauna kazi, hauna nguo nzuri, haujamjengea mama ako, hauli watoto wazuri ila all in all inakupunguziaje fursa ya maisha na uzima wako wa kuendelea kupambana?

Linda tobo lako
Linda utu wako
Linda heshima yako
Linda furaha yako
Linda furaha yako
 
Back
Top Bottom