Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:
- Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga
- Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa
- CHADEMA Dodoma mjini wadai kunasa majina feki ya wapiga kura
- CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi