LGE2024 Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umalize vocha kwa ajili ya mjinga
Kwani anakuwekea vocha au bundle?
Mnawabahatisha hao hao wajinga wenzenu sehemu zingine mtakuja katwa sehemu zenu za siri ndiyo mtakuja kujua uchawa kwa chama gharama yake ni ulemavu.Pumbavu unashangilia ujinga,hivi zinatosha hizo akili zako au ni za kuchambia?
 
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:

Ushahidi huu hautoshi.....!
Wenyewe watakwambia Bado wanakusanya Ushahidi
 
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:

Kitendo cha jeshi la polisi kuendelea kuwaacha vijana wa CCM kufanya chochote wanacho jisikia kwa upinzani tena kwa ushahidi kabisa bila kuwachukulia hatua zozote ndicho kinacho endelea kuwapa ujasiri wa kuendelea kuyafanya hayo na wataendele kufanya makubwa zaidi ya hayo kwa sababu wamesha amini ukisha kuwa CCM unalindwa na sheria zote za nchi hii
 
Chadema mnaeleweka njama zenu za kufanya vurugu vituo ambavyo hamna mawakala mbona inaeleweka

Mkome kabisa sehemu ambayo hamna wakala wenu msisogee kuhoji au kuleta fujo.jiandikisheni kama mnajiandikisha kisha ondokeni kama hamna mpango wa kujiandikisha msisogee kaeni mbali kioneni hicho kituo kama ugonjwa wa ukoma

Wakala wenu kwenye kituo ndio mtu wenu wa kuhoji chochote mnataka kuhoji si vinginevyo
 
Nzi wa kijani ni magaidi kama hezbollah na hamas tu.
 
Polisi wafanye nini? Pale panatakiwa wakala wa chama ,muandikishaji na wanaojiandikisha tu

Sasa mtu anatokea huko anaanza kuhojihoji watu wakimvaa asilaumu mtu
Akitaka kuhoji chochote aulize wakala wa Chama chake aliyepo hapo si vinginevyo
Siasa zisikutoe utu na ubinadamu ,wewe una roho ya kikatili sana kwa comment yako hii , sijui wewe ni muumin wa dini gani lakini hata kwa imani yako tuu ukitoa mihemko ya siasa , bado tukio hili halikupaswa kufika huko, mtu yeyote mwenye utu na ubinadamu bila kujali itikadi yake ya chama hawezi kuona hilo ni jambo la kawaida, una roho ya kiuaji wewe
 
Tupo hatarini sana kama taifa. Hawa jamaa kama mpaka wanaweza kufanya kitu kama hiki hadharani manake wameshaona mfumo ni wa kwao peke yao na wengine hawausiki kabisa. Mungu awalaani
This sheria bila shuruti weka wakala wako kituo husika huyo ndio wa kuhoji na kumuuliza chochote kuhusu kituo hicho
Acha kuparamia wengine tofali lisije kutua kichwani kwako liwe la polisi au wananchi wenye hasira
 
Chadema mnaeleweka njama zenu za kufanya vurugu vituo ambavyo hamna mawakala mbona inaeleweka

Mkome kabisa sehemu ambayo hamna wakala wenu msisogee kuhoji au kuleta fujo.jiandikisheni kama mnajiandikisha kisha ondokeni kama hamna mpango wa kujiandikisha msisogee kaeni mbali kioneni hicho kituo kama ugonjwa wa ukoma

Wakala wenu kwenye kituo ndio mtu wenu wa kuhoji chochote mnataka kuhoji si vinginevyo
Siasa zisikutoe utu na ubinadamu ,wewe una roho ya kikatili sana kwa comment yako hii , sijui wewe ni muumin wa dini gani lakini hata kwa imani yako tuu ukitoa mihemko ya siasa , bado tukio hili halikupaswa kufika huko, mtu yeyote mwenye utu na ubinadamu bila kujali itikadi yake ya chama hawezi kuona hilo ni jambo la kawaida, una roho ya kiuaji wewe
 
Siasa zisikutoe utu na ubinadamu ,wewe una roho ya kikatili sana kwa comment yako hii , sijui wewe ni muumin wa dini gani lakini hata kwa imani yako tuu ukitoa mihemko ya siasa , bado tukio hili halikupaswa kufika huko, mtu yeyote mwenye utu na ubinadamu bila kujali itikadi yake ya chama hawezi kuona hilo ni jambo la kawaida, una roho ya kiuaji wewe
Nafikiri baada ya tukio hilo yeye binafsi mhusika atakuwa kajifunza kitu
Elimu si ya darasani tu
 
Nahapa ndipo napata majibu kwanini wananchi hawajitokezi kujiandikisha nannina hakika hawatajitokeza pia kupiga kura kwa mwenendo huu
 
Kwa kweli kama unaenda kujiandikisha na kuna watu wameshika matofali na visu kuwajeruhi wale ambao siyo wana ccm.
Nahapa ndipo napata majibu kwanini wananchi hawajitokezi kujiandikisha nannina hakika hawatajitokeza pia kupiga kura kwa mwenendo huu
 
Polisi wafanye nini? Pale panatakiwa wakala wa chama ,muandikishaji na wanaojiandikisha tu

Sasa mtu anatokea huko anaanza kuhojihoji watu wakimvaa asilaumu mtu
Akitaka kuhoji chochote aulize wakala wa Chama chake aliyepo hapo si vinginevyo
Polisi wafanye nini? Unauliza swali hili ukiwa umefika darasa la tatu kweli?

Kupigana hadharani ni jinai polisi anatakiwa kum arrest mtu anayefanya fujo/shambulio la kudhuru mwili pasipo hata arrest warrant.
 
Back
Top Bottom