LGE2024 Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nahapa ndipo napata majibu kwanini wananchi hawajitokezi kujiandikisha nannina hakika hawatajitokeza pia kupiga kura kwa mwenendo huu
Kajiandikishe usiogope tofali wewe kama raia mwema unayeenda kujiandikisha

Tofali zina wenyewe zinazowahusu
Wwwe kama raia mwema hata u9ne tofali zimepangwa mbele ya meza ya mwandikishaji hazikuhusu ziko pale kutumika kujenga ofisi zoezi la kuandikisha likiisha
 
Uchu wa madaraka unawatoa utu kabisa kwanini vyama vya upinzani vimekubali kushiriki huu ujinga? Wangewaachia tu uchaguzi wao wapate hayo madaraka wanayotaka.
 
Kupigana hadharani ni jinai polisi anatakiwa kum arrest mtu anayefanya fujo/shambulio la kudhuru mwili pasipo hata arrest warrant.
Mbona mabondia huwa wanapigana hadharani na kudhuriana mbona huwa hawakamatwi na polisi
 
Hapo mtu kutishwa tofali la kisogo. Dah!

Sitokaa nisogelee vituo vya kura maisha!

Watu wamekuwa wa ajabu sana!
 
Waweke wakala wao ,sio kusumbua wengine Si wameambiwa waweke mawakala kwenye vituo huweki halafu unaenda kusumbua watu wengine.Tofali ukitwangwa usilaumu mtu .Unafanya fujo kituoni

Sasa huna mawakala unaenda kuhoji nini kama si kuleta vurugu huko.
Kwa nini yeye mwenyewe asingeomba kuwa wakala hicho kituo toka mwanzo?
Kwaiyo hao kenge wa Kijani nao wote ni mawakala kwenye hicho kituo na wenyewe wapo eneo hilo kufanya nini kweli hujitambui wewe
 
Heading ilitakiwa iseme wanaodhaniwa wana CCM

Moderators badilisheni heading.Hakuna ushahidi kuwa ni wana CCM waliomtandika tofali
 
Mbona mabondia huwa wanapigana hadharani na kudhuriana mbona huwa hawakamatwi na polisi
Ule ni mchezo rasmi unaotambuliwa na sheria hadi za kimataifa na una chama chao cha mabondia.

Mchezo wa bondia unasimamiwa na mwamuzi ambaye anazielewa sheria za mchezo husika vilivyo.

Sasa mkuu kama kitu kidogo kama hiki umeshindwa kutofautisha utaweza kufanya reasoning ya mambo yanayohitaji IQ kubwa?
 
Kajiandikishe usiogope tofali wewe kama raia mwema unayeenda kujiandikisha

Tofali zina wenyewe zinazowahusu
Wwwe kama raia mwema hata u9ne tofali zimepangwa mbele ya meza ya mwandikishaji hazikuhusu ziko pale kutumika kujenga ofisi zoezi la kuandikisha likiisha
Wakati huo usisahau anaye pigwa na tofali bila hatia ni binadamu mwenzako hata kama hujali na ni mtanzania na ana ndugu na wana jamii kama wewe, raia wanaona ndio maana hawana namna ya kujibu mapigo kwa sababu jeshi mnalo na mitutu mnayo wao wameona wakae kando tuu kwenye hili zoezi ndio maana hawaonekani vituoni kujiandikisha na hapo bado kupiga kura ndio kabisaa, mnaweza dhani njia za kujeruhi, kuumiza na kuua ina afya kwa ustawi wa chama na nchi kumbe ndiyo mambo yana haribika zaidi .

Mimi ni mwana CCM kamili nina kadi na nina ilipia, lakini sijawa mfuasi mjinga wa kuunga mkono hata mambo ya hovyo hovyo yanayo fanywa na wanachama wasio na weledi
 
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:

Mbona wote ni cdm?
Watakuwa wanagombea nini, ama mshiko?
 
Wakati huo usisahau anaye pigwa na tofali bila hatia ni binadamu mwenzako hata kama hujali na ni mtanzania na ana ndugu na wana jamii kama wewe, raia wanaona ndio maana hawana namna ya kujibu mapigo kwa sababu jeshi mnalo na mitutu mnayo wao wameona wakae kando tuu kwenye hili zoezi ndio maana hawaonekani vituoni kujiandikisha na hapo bado kupiga kura ndio kabisaa, mnaweza dhani njia za kujeruhi, kuumiza na kuua ina afya kwa ustawi wa chama na nchi kumbe ndiyo mambo yana haribika zaidi .

Mimi ni mwana CCM kamili nina kadi na nina ilipia, lakini sijawa mfuasi mjinga wa kuunga mkono hata mambo ya hovyo hovyo yanayo fanywa na wanachama wasio na weledia ccm kashambulia?
Kupitia hiyo klip utajua mwana-CCM ni yupi na Chadema ni yupi?
Kwa nini huyo alopigwa na tofali asiwe mwana-CCM?
Wakati mwingine tuwe tunabalance mambo.
 
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:

Ndiyo tumefika hapa?🥹🥹🥹
 
Hivi Kuna mtu alikuwa na nguvu kama Adolf Hitre,lakini mwisho wake ulikuwaje
 
Ndiyo kazi ya ccm hiyo.
Ukisikia AMANI NA UTULIVU ndio hiyo ndugu, yaani mpinzani akifanywa hivyo ni sawa tu, wala askari hafanyi chochote na huyo jamaa badala ya kupelekwa kwenye vyombo vya dola utasikia kapewa cheo cha uDC. Hiyo ndio Tanzania ya chifu Hangaya.
 
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Siasa ni uadui?
 
Sasa hao waandikishaji kazi yao kutoa fafanuzi au kuandikisha watu?

Hapo wanatakiwa mawakala tu na wanaojiandikisha

Chama kikiweka wakala wake hao wengine wanafuata nini?

Chadema muelewe taratibu kama kuna wakala wenu maswali yenu ulizeni wakala wenu acheni kusumbua waandikishaji au watu mnaokuta wanajiandikisha wapo pale kujiandikisha sio kuhojiwa
Ndio alitakiwa apigwe na tofali? Polisi wamechukua hatua gani?
 
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:

Lakini ndrugo zangu wanachadema mambo mengine mnajitakia tu, huhusiki na zoezi la uandikishaji unahoji nini huenda vijana wanajiandikisha kwenda kucheza mechi ya kirafiki na wenzao eneo la mbali...

by the way who are you?
si majuzi hapa mlitangaza kuna kituo cha kupokea changanoto za zoezi la uandikishaji, sasa mchungaji si angerepoti huko?

Lakin mbona kama vile mtu kapigwa ngumi, upper cut chembe la kidevu, lazima ukae, unasema kapigwa na tofali? au ngumi ilikua ngumu na kali sana ?🤣
 
Back
Top Bottom