Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.

Sasa hao waandikishaji kazi yao kutoa fafanuzi au kuandikisha watu?
Hapo wanatakiwa mawakala tu na wanaojiandikisha
Chama kikiweka wakala wake hao wengine wanafuata nini?
Chadema muelewe taratibu kama kuna wakala wenu maswali yenu ulizeni wakala wenu acheni kusumbua waandikishaji au watu mnaokuta wanajiandikisha wapo pale kujiandikisha sio kuhojiwa
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya 7Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Sasa hao waandikishaji kazi yao kutoa fafanuzi au kuandikisha watu?
Hapo wanatakiwa mawakala tu na wanaojiandikisha
Chama kikiweka wakala wake hao wengine wanafuata nini?
Chadema muelewe taratibu kama kuna wakala wenu maswali yenu ulizeni wakala wenu acheni kusumbua waandikishaji au watu mnaokuta wanajiandikisha wapo pale kujiandikisha sio kuhojiwa
Wewe utakuwa Njagu tu! huoni upendeleo wowote? alipokamatwa yule aliyekuwa na majina fake waliomkamata ndio waliotiwa hatiani! YOUR DAYS ARE NUMBERED TRUST ME!!
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Waweke wakala wao ,sio kusumbua wengine Si wameambiwa waweke mawakala kwenye vituo huweki halafu unaenda kusumbua watu wengine.Tofali ukitwangwa usilaumu mtu .Unafanya fujo kituoni
Sasa huna mawakala unaenda kuhoji nini kama si kuleta vurugu huko.
Kwa nini yeye mwenyewe asingeomba kuwa wakala hicho kituo toka mwanzo?
Sasa hao waandikishaji kazi yao kutoa fafanuzi au kuandikisha watu?
Hapo wanatakiwa mawakala tu na wanaojiandikisha
Chama kikiweka wakala wake hao wengine wanafuata nini?
Chadema muelewe taratibu kama kuna wakala wenu maswali yenu ulizeni wakala wenu acheni kusumbua waandikishaji au watu mnaokuta wanajiandikisha wapo pale kujiandikisha sio kuhojiwa
Sasa hao waandikishaji kazi yao kutoa fafanuzi au kuandikisha watu?
Hapo wanatakiwa mawakala tu na wanaojiandikisha
Chama kikiweka wakala wake hao wengine wanafuata nini?
Chadema muelewe taratibu kama kuna wakala wenu maswali yenu ulizeni wakala wenu acheni kusumbua waandikishaji au watu mnaokuta wanajiandikisha wapo pale kujiandikisha sio kuhojiwa
Lakini kuanza kushambuliana kwa kushindwa kuvumiliana inaonyesha uadui ulivyowajaa mioyoni ccm na chadema. The Hague itawala kichwa watu wakiendelea kufa wengi kipindi cha uchaguzi.
Wewe utakuwa Njagu tu! huoni upendeleo wowote? alipokamatwa yule aliyekuwa na majina fake waliomkamata ndio waliotiwa hatiani! YOUR DAYS ARE NUMBERED TRUST ME!!
Lakini kuanza kushambuliana kwa kushindwa kuvumiliana inaonyesha uadui ulivyowajaa mioyoni ccm na chadema. The Hague itawala kichwa watu wakiendelea kufa wengi kipindi cha uchaguzi.
Sasa hao waandikishaji kazi yao kutoa fafanuzi au kuandikisha watu?
Hapo wanatakiwa mawakala tu na wanaojiandikisha
Chama kikiweka wakala wake hao wengine wanafuata nini?
Chadema muelewe taratibu kama kuna wakala wenu maswali yenu ulizeni wakala wenu acheni kusumbua waandikishaji au watu mnaokuta wanajiandikisha wapo pale kujiandikisha sio kuhojiwa
CHADEMA AWANA AKILI NILIWAAMBIA WAKANIONA MIMI MPUMBAVU KAMA WAO .. AWAJUI HATA ADUI WAO MKUBWA NI NANI? MBOWE NDIYE ADUI NO MOJA WA CHADEMA...nawaambia chadema kwa kukosa kwenu akili mtajamba cheche si mlisema na kuimbishwa nyimbo na msio wajua kuwa jpm dictator hamkujua kuwa mnatumiwa na watu dhalimu dhidi ya mzalendo JPM sasa hao watu dhalimu walipo kwisha kuwatumiena na kufanikiwa kumuondoa JPM ...mkawatukuza na kuwaita wanaupiga mwingi sasa mtavuna upumbavu wenye kwa damu zenu kupitia mikono ya,walewale mlio shikamana nao kumtukana JPM
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Tupo hatarini sana kama taifa. Hawa jamaa kama mpaka wanaweza kufanya kitu kama hiki hadharani manake wameshaona mfumo ni wa kwao peke yao na wengine hawausiki kabisa. Mungu awalaani