WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Mnawabahatisha hao hao wajinga wenzenu sehemu zingine mtakuja katwa sehemu zenu za siri ndiyo mtakuja kujua uchawa kwa chama gharama yake ni ulemavu.Pumbavu unashangilia ujinga,hivi zinatosha hizo akili zako au ni za kuchambia?Umalize vocha kwa ajili ya mjinga
Kwani anakuwekea vocha au bundle?
Kama yule kima wa uvccm wa Kagera alimwambia polisi tukimpoteza mtu msihangaike kumtafuta! Hakuchukuliwa hatua yoyote! Ccm ni terrorists!Ndiyo kazi ya ccm hiyo.
Wajinga sana hawa jamaa.Kama yule kima wa uvccm wa Kagera alimwambia polisi tukimpoteza mtu msihangaike kumtafuta! Hakuchukuliwa hatua yoyote! Ccm ni terrorists!
Ushahidi huu hautoshi.....!Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:
- Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga
- Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa
- CHADEMA Dodoma mjini wadai kunasa majina feki ya wapiga kura
- CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi
Kitendo cha jeshi la polisi kuendelea kuwaacha vijana wa CCM kufanya chochote wanacho jisikia kwa upinzani tena kwa ushahidi kabisa bila kuwachukulia hatua zozote ndicho kinacho endelea kuwapa ujasiri wa kuendelea kuyafanya hayo na wataendele kufanya makubwa zaidi ya hayo kwa sababu wamesha amini ukisha kuwa CCM unalindwa na sheria zote za nchi hiiMchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa, kilichoko Mtaa wa Yangeyange. Shambulio hili lilitokea baada ya Ngatunga kuwataka vijana hao kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la uandikishaji.
Pia, Soma:
- Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga
- Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa
- CHADEMA Dodoma mjini wadai kunasa majina feki ya wapiga kura
- CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi
Siasa zisikutoe utu na ubinadamu ,wewe una roho ya kikatili sana kwa comment yako hii , sijui wewe ni muumin wa dini gani lakini hata kwa imani yako tuu ukitoa mihemko ya siasa , bado tukio hili halikupaswa kufika huko, mtu yeyote mwenye utu na ubinadamu bila kujali itikadi yake ya chama hawezi kuona hilo ni jambo la kawaida, una roho ya kiuaji wewePolisi wafanye nini? Pale panatakiwa wakala wa chama ,muandikishaji na wanaojiandikisha tu
Sasa mtu anatokea huko anaanza kuhojihoji watu wakimvaa asilaumu mtu
Akitaka kuhoji chochote aulize wakala wa Chama chake aliyepo hapo si vinginevyo
This sheria bila shuruti weka wakala wako kituo husika huyo ndio wa kuhoji na kumuuliza chochote kuhusu kituo hichoTupo hatarini sana kama taifa. Hawa jamaa kama mpaka wanaweza kufanya kitu kama hiki hadharani manake wameshaona mfumo ni wa kwao peke yao na wengine hawausiki kabisa. Mungu awalaani
Siasa zisikutoe utu na ubinadamu ,wewe una roho ya kikatili sana kwa comment yako hii , sijui wewe ni muumin wa dini gani lakini hata kwa imani yako tuu ukitoa mihemko ya siasa , bado tukio hili halikupaswa kufika huko, mtu yeyote mwenye utu na ubinadamu bila kujali itikadi yake ya chama hawezi kuona hilo ni jambo la kawaida, una roho ya kiuaji weweChadema mnaeleweka njama zenu za kufanya vurugu vituo ambavyo hamna mawakala mbona inaeleweka
Mkome kabisa sehemu ambayo hamna wakala wenu msisogee kuhoji au kuleta fujo.jiandikisheni kama mnajiandikisha kisha ondokeni kama hamna mpango wa kujiandikisha msisogee kaeni mbali kioneni hicho kituo kama ugonjwa wa ukoma
Wakala wenu kwenye kituo ndio mtu wenu wa kuhoji chochote mnataka kuhoji si vinginevyo
Nafikiri baada ya tukio hilo yeye binafsi mhusika atakuwa kajifunza kituSiasa zisikutoe utu na ubinadamu ,wewe una roho ya kikatili sana kwa comment yako hii , sijui wewe ni muumin wa dini gani lakini hata kwa imani yako tuu ukitoa mihemko ya siasa , bado tukio hili halikupaswa kufika huko, mtu yeyote mwenye utu na ubinadamu bila kujali itikadi yake ya chama hawezi kuona hilo ni jambo la kawaida, una roho ya kiuaji wewe
Kama kawaida yao ila wakisikia kuna maandamano kesho usiku huo huo kila kona wanaenea kama sisimizi.Ushahidi huu hautoshi.....!
Wenyewe watakwambia Bado wanakusanya Ushahidi
Nimesha lisema lakwangu hayo mengine siyajuiNafikiri baada ya tukio hilo yeye binafsi mhusika atakuwa kajifunza kitu
Kajifunza nini zaidi ya kumjengea chuki isiyoisha.Nafikiri baada ya tukio hilo yeye binafsi mhusika atakuwa kajifunza kitu
Nafikiri ungeenda kumhoji live ingekuwa vizuri zaidi kuwa kajifunza nini baada ya lile tofali kutua juu ya kichwa chake kama baba mchungajiKajifunza nini zaidi ya kumjengea chuki isiyoisha.
Nahapa ndipo napata majibu kwanini wananchi hawajitokezi kujiandikisha nannina hakika hawatajitokeza pia kupiga kura kwa mwenendo huu
Polisi wafanye nini? Unauliza swali hili ukiwa umefika darasa la tatu kweli?Polisi wafanye nini? Pale panatakiwa wakala wa chama ,muandikishaji na wanaojiandikisha tu
Sasa mtu anatokea huko anaanza kuhojihoji watu wakimvaa asilaumu mtu
Akitaka kuhoji chochote aulize wakala wa Chama chake aliyepo hapo si vinginevyo