LGE2024 Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyo JPM alikuwa shetani katika umbile la binadamu, na kwa taarifa yako ukatili wa aina hiyo wakati wake ulikuwa unafanyika kwa wingi na uwazi zaidi.
 
Huyo JPM alikuwa shetani katika umbile la binadamu, na kwa taarifa yako ukatili wa aina hiyo wakati wake ulikuwa unafanyika kwa wingi na uwazi zaidi.
Tumia akili tatizo siyo ukatili tatizo unafanya hsyo kwa haki au kwa dhuruma...hata mitume na manabii kwenye hizo dini zenu walikuwa makatili...kwa mfano ...kuna polisi kuua jambazi na kuna polisi kushirikiana na jambazi kuua raia mwema....serikali ya samia inashirikiana na wahalifu kuua wema
 
Reactions: apk
Somebody Mjinga,
Mjinga kwelikweli.
Tuna mwaka mzima Mpaka tufike October 2025.
Bado safari ni ndefu sana kwa matukio ya kutokustaarabika yakianza kujitokeza mapema kabisa.
Imagine umeenda zako kujiandikisha alafu Mjinga mmoja anakuja na jiwe linamkosa aliyemtaka linakupata wewe,unakufa na unaacha familia yako ikiteseka kama vile kura yako ingebadilisha matokeo.
Its all nonsense.Mambo ni mengi sana ya kufanya sijui hata wanaoenda wanaenda kufanya nini huko.
Pole mtanzania mwenzangu Israel kwa ajali hiyo.
 
Hata ya dhalimu magu ilikuwa hivyo hivyo, tena yeye ndio alikuwa shetani zaidi.
 
Chama cha majambazi
 
Hata ya dhalimu magu ilikuwa hivyo hivyo, tena yeye ndio alikuwa shetani zaidi.
Ukimsikia mtu anasema hivyo ujue huyo ndiye fisadi papa ...hakuna raia mwema anaye weza kusema hivyo juu ya MTUKUFU JPM ISIPOKUWA WAHUNI WANAO CHUKIZWA NA UZALENDO. hata ROSTAM AZIZI ANASEMA KAMA WEWE ...
 
Polisi wafanye nini? Pale panatakiwa wakala wa chama ,muandikishaji na wanaojiandikisha tu

Sasa mtu anatokea huko anaanza kuhojihoji watu wakimvaa asilaumu mtu
Akitaka kuhoji chochote aulize wakala wa Chama chake aliyepo hapo si vinginevyo
Umejaza majanamu kichwani wala siyo ubongo! Hao waliokuwa wanaandikisha watu nje ya kituo ndiyo wapewe dhamana hiyo? CHADEMA ifike mahali waunde kikundi cha kuteka watu wajingawajinga kama hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…