Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega.
Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini?
Au ndio mmezoea maharakati?
👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini?
Au ndio mmezoea maharakati?
👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro