Vijana wa Form Six walioenda JKT bado wanaendelea kuishi kwa mateso

Swala la kula tunalipa umuhimu wa kijinga tu, nilishawahi kukaa wikii kadhaa nakula after every 24 hours na kazi nafanya za kutoa jasho, Kuna kipindi mwili ulizoea ile Hali hata nikawa sisikii njaa... Mambo mengine ni kujiendekeza tu
 
Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.

Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na waliobaki basi lazima ujiongeze.

Ni juzi juzi tuu JKT walikanusha vijana wa form 6 kuteswa pindi wanapoenda kwenye haya mafunzo, je kuwanyima chakula na huku wanapiga zoezi gumu siyo moja ya mateso?
Ndo jeshi,siyo unaendekeza kula,akirudi lehemu na kitambi chote kwisha
 
Yuko ndani ya kambi atanunua wapi hicho chakula?
Unit za kijeshi unaziona kwenye movie nadhani
Ukiwa recruit unaweza nunua chakula shida ni pesa

Na ni kweli muda mwingine chakula kinakua hakiendani na kazi mnazofanya
Hii mara nyingi kwa kambi flani kigoma
Ila ukiiva unaanza kubasti msosi maisha yanaenda
 
Hiyo ni kawaida huko. Inabidi ajiongeze ku "double". Otherwise atapata tabu sana au awe na pesa. Na jamaa(wanajeshi) wanafanya sana biashara pale maandazi mawili 500 na hakuna kwingine kwa kuyapata zaidi ya hapo.
 
Wewe na yeye wote ni matahira.

Enzi hizi Tanzania haina tetesi wala adui wa kuliamsha naye badala umpeleke hata ajifunze kushona viatu, unampeleka jkt isiyo na manufaa kwake.

Mwambie akomae
 
Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.

Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na waliobaki basi lazima ujiongeze.

Ni juzi juzi tuu JKT walikanusha vijana wa form 6 kuteswa pindi wanapoenda kwenye haya mafunzo, je kuwanyima chakula na huku wanapiga zoezi gumu siyo moja ya mateso?
OP KIKWETE NDO ILIKUWA JKT HAI JAMANI RAHA UTAMU JAMSNI RAGA......

SENBE NA NYAMA MAMA...

YAKUKU MAYAI YAKUKU MAYAI.....

NYAMA ZA KUKAANGA....

MACHUNGWA,MATIKITI, MAZIWA NA MKATE MTAMU YAI LIWEPO....
 
Sasa na wwe Kama watu wanapewa zowezi gumu Kama unavyosema watashindiliwaje chakula ndindii!? Si watapasuka matumbo yao!!!
 
OP KIKWETE NDO ILIKUWA JKT HAI JAMANI RAHA UTAMU JAMSNI RAGA......

SENBE NA NYAMA MAMA...

YAKUKU MAYAI YAKUKU MAYAI.....

NYAMA ZA KUKAANGA....

MACHUNGWA,MATIKITI, MAZIWA NA MKATE MTAMU YAI LIWEPO....
[emoji16][emoji16], ilikuwa 2015

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Majeshini Kuna migahawa,maduka, sema kule Kuna Kama mashindano wenzako wananunua we unaeaangalia kweli, lazima waseme uongo ili wapewe Ela home, alafu Kuna posho wanapewa kila mwisho wa mwezi najua Ila sitoitaja......,
Wewe unazungumzia jeshi la zamani, ndio walikuwa wanapewa posho. Hata vyuo vikuu si vilikuwa na posho? wakati siku hizi unapewa mkopo, utaulipa baadae, au wewe mwenyewe ulipie. Mambo yamebadilika.
 
Hao siyo WANAJESHI , ni wanafunzi wanopitia UKAKAMAVU kidogo , kujengwa UZALENDO wa kulinda nchi yao .ni mafunzo ya muda mfupi MNO. Wakitoka huko na maisha yao ya baadaye.

Hawatoshangazwa pale watakapotakiwa na jamii kushiriki ULINZI mtaani kwake, au kushauri au kusimamia mambo yote yahussuyo binadamu na utimamu wa mwili.

Wakiwa viongozi siku za mbeleni wakiona au kuambiwa au kushauriwa au kusimamia mambo yanayohusu ULINZI na askari wanakuwa werevu mno.

Nchi iliyona WASOMI wenye itikadi kidogo za KIJESHI inafanikiwa sana. Maana maamuzi ni papo kwa hapo.
 
Hiyo ni kawaida huko. Inabidi ajiongeze ku "double". Otherwise atapata tabu sana au awe na pesa. Na jamaa(wanajeshi) wanafanya sana biashara pale maandazi mawili 500 na hakuna kwingine kwa kuyapata zaidi ya hapo.
😂
 
Back
Top Bottom