inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kutengeneza kizazi kakamavu na Cha kizalendo,mmelegea Kama dada zenu,ona mwenzio analalama chakula hakitoshi jeshinimateso kwa mujibu wa sheria.
Hivi tunapata faida gani kama taifa kwa hizi programs?
Ndo jeshi,siyo unaendekeza kula,akirudi lehemu na kitambi chote kwishaNina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.
Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na waliobaki basi lazima ujiongeze.
Ni juzi juzi tuu JKT walikanusha vijana wa form 6 kuteswa pindi wanapoenda kwenye haya mafunzo, je kuwanyima chakula na huku wanapiga zoezi gumu siyo moja ya mateso?
Unit za kijeshi unaziona kwenye movie nadhaniYuko ndani ya kambi atanunua wapi hicho chakula?
Jkt is a waste of time and resources.
OP KIKWETE NDO ILIKUWA JKT HAI JAMANI RAHA UTAMU JAMSNI RAGA......Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.
Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na waliobaki basi lazima ujiongeze.
Ni juzi juzi tuu JKT walikanusha vijana wa form 6 kuteswa pindi wanapoenda kwenye haya mafunzo, je kuwanyima chakula na huku wanapiga zoezi gumu siyo moja ya mateso?
Sasa na wwe Kama watu wanapewa zowezi gumu Kama unavyosema watashindiliwaje chakula ndindii!? Si watapasuka matumbo yao!!!Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.
Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na waliobaki basi lazima ujiongeze.
Ni juzi juzi tuu JKT walikanusha vijana wa form 6 kuteswa pindi wanapoenda kwenye haya mafunzo, je kuwanyima chakula na huku wanapiga zoezi gumu siyo moja ya mateso?
Hakuna faida yoyote, zaidi ya fedha za walipa kodi kupotea bure, na serikali kuongeza bajeti ili walipa kodi walipe zaidi.mateso kwa mujibu wa sheria.
Hivi tunapata faida gani kama taifa kwa hizi programs?
[emoji16][emoji16], ilikuwa 2015OP KIKWETE NDO ILIKUWA JKT HAI JAMANI RAHA UTAMU JAMSNI RAGA......
SENBE NA NYAMA MAMA...
YAKUKU MAYAI YAKUKU MAYAI.....
NYAMA ZA KUKAANGA....
MACHUNGWA,MATIKITI, MAZIWA NA MKATE MTAMU YAI LIWEPO....
Wewe unazungumzia jeshi la zamani, ndio walikuwa wanapewa posho. Hata vyuo vikuu si vilikuwa na posho? wakati siku hizi unapewa mkopo, utaulipa baadae, au wewe mwenyewe ulipie. Mambo yamebadilika.Majeshini Kuna migahawa,maduka, sema kule Kuna Kama mashindano wenzako wananunua we unaeaangalia kweli, lazima waseme uongo ili wapewe Ela home, alafu Kuna posho wanapewa kila mwisho wa mwezi najua Ila sitoitaja......,
Kambi za kisasa hizo,hadi supu ya Kuku wa Kienyeji na chapati mbili unapata!!Kambi za siku hizi kumbe ina migahawa inauza chakula!
😂Hiyo ni kawaida huko. Inabidi ajiongeze ku "double". Otherwise atapata tabu sana au awe na pesa. Na jamaa(wanajeshi) wanafanya sana biashara pale maandazi mawili 500 na hakuna kwingine kwa kuyapata zaidi ya hapo.
Nilimsikia mkuu wa hilo jeshi, ati wanafundishwa uzalendo, wasilete migomo chuoni!!mateso kwa mujibu wa sheria.
Hivi tunapata faida gani kama taifa kwa hizi programs?