Vijana wa Form Six walioenda JKT bado wanaendelea kuishi kwa mateso

Kuna wengne wanarudi wakiwa marehemu,sielewi ni mazoezi gani hayo yakufanya mpaka mtu apoteze uhai
 
Swala la kula tunalipa umuhimu wa kijinga tu, nilishawahi kukaa wikii kadhaa nakula after every 24 hours na kazi nafanya za kutoa jasho, Kuna kipindi mwili ulizoea ile Hali hata nikawa sisikii njaa... Mambo mengine ni kujiendekeza tu
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…