peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sure , wanapewa posho tu kama motisha ya ushiriki wao ila siyo mshahara na hamna negotiation . Na watoto wengi wanapenda michezo hii wanapata nafasi ya kushiriki outdoor activity na kukutana na wenzao na hii ndo faida kubwa zaidiKuna pesa wanalipwa kupitia shuleni kwao , fatilia...
Umesema kweli kbs!Usiruhusu mtoto wako afanye huu ujinga
Inasaidia kuwajenga ki akili zaidi na kuwafanya kujiamini zaidi.Sure , wanapewa posho tu kama motisha ya ushiriki wao ila siyo mshahara na hamna negotiation . Na watoto wengi wanapenda michezo hii wanapata nafasi ya kushiriki outdoor activity na kukutana na wenzao na hii ndo faida kubwa zaidi
Ndio nauliza kama kuna reward ya vyeti kwao?hawa watoto wanakosa vipi takriban miezi miwili wakishinda juani kwa ajili ya mazoezi
Inatoka baada ya muda gani baada ya tukio kupita? Maana mpaka sasa ishapita wiki na zaidi na hakuna habari yeyote kutoka shuleni.Kuna pesa wanalipwa kupitia shuleni kwao , fatilia...
Fafanua uchawi unaingiaje hapoKuadhimisha mwenge
Track suits raba.....wali nyama soda....baaasiiii....wamepoteza miezi 3 hapo shule nusu siku saa 6 wanaenda mazoezi......shidaaaWali na nyama basi
Bureeeeee hakuna kituuuuuKuna pesa wanalipwa kupitia shuleni kwao , fatilia...
Hayo matukio ya simba na yanga huandaliwa miezi mitatu?Vyeti wavipeleke wapi ? Waende kuombea kazi au kutambulika ili iweje ka tukio kenyewe ni kadogo sana. Sasa mtu si atajikuta ana vyeti 200. Cheti kitolewe kwenye kitu ambacho ni outstanding siyo hiyo michezo ambayo kila mtu anaweza kufanya. Siku hizi hata vyeti vya computer hizi basic skills Kama word na excel havitumiki tena sembuse hiyo michezo
Ma tukio ya namna hii ni mengi mno nchini hata simba day na Yanga say yanafanyika tena kutumia watoto au vijana hao hao kutoka mashule mbali mbali . Vyeti hapo ni unnecessary
Shida sana mkuu waliangalie hili ili kuwapa motisha.Track suits raba.....wali nyama soda....baaasiiii....wamepoteza miezi 3 hapo shule nusu siku saa 6 wanaenda mazoezi......shidaaa
Wewe cheti cha kuzaliwa umefanyia kazi gani? Hao machipukizi ya ccm kadi hawana? Ni za nini kama ni watotoSasa wapeww vyeti watavifanyia kazi gani
Hapa naona kuna kosa hufanyika, huwezi wafanyisha watoto kazi ya malipo, lakini mkono wa pongezi kwa watoto ingekuwa Bora zaidi plus hayo matruck suit
Kwani wakipewa inagharimu nini?Ngoja nikuambie kitu.
Hata wakipewa vyeti havitawasaidia kitu katika maisha yao yote mpaka kifo
Shule kuna vikundi vya pccb, KUELIMISHA UKIMWI, SCOUT n.k ambapo huwatunukia vyeti lakini havijawahi kuwasaidia lolote katika harakati zao za kusaka ajira na harakati zingine.
Wewe cheti cha kuzaliwa umefanyia kazi gani? Hao machipukizi ya ccm kadi hawana? Ni za nini kama ni watoto
Nimekujibu kwa hoja yako cheti ni chanini kwa watoto ndio nimekuuliza kwani cheti cha kuzaliwa kwa mtoto ni chanini? Kwamba watoto hawastahili vyeti? UnatukanaHujui umuhimu wa cheti cha kuzaliwa?
Angalia simba day ndo utaona maandalizi siyo ya wiki moja au mbili,zile pattern zilizochorwa pale uwanjani ndo utajua walikuwa na maandalizi ya kutosha na yanachukua muda. Na pia suala siyo miezi mitatu au minne suala ni lengo lake ni nini . Na usiyaite mafunzo hayo siyo mafunzo kwamba yana qualify kupewa cheti, ni event tu imeandaliwa basi ikiisha imeisha ikija event nyingine itahitaji set up nyingine. Sasa huwezi kuita shule nzima lazima kuchagua wachache sababu ile siyo haki ya kila mtu ni tukio tu limejitokeza unachukua watoto wachache basi wanafanya linaisha. Ni mambo ya kawaida sana kama unavyoona watoto wanatengeneza nyimbo na michezo Kwa ajiri ya kusherehesha kaka au dada zao kwenye graduation Kwa shule husika. Sasa watoto wakiandaa wimbo au mchezo kwa zaidi ya mwezi Kwa ajiri ya graduation tena Kwa kusimamiwa na walimu wao huwezi Sema wapewe vyeti. Ni mambo ya kawaida kabisa. Tulikuwa na michezo mashuleni na tulijiandaa kwa muda mrefu na kilikuwa kipindi pendwa kwa wanafunzi. Mechi tu ya shule na shule wanafunzi wanapiga zoezi miezi kadhaa sembuse hako katukio kadogo kwamba ndo wapewe cheti ππ. Sasa mtu si atamaliza chuo amejaza kabati la vyetiHayo matukio ya simba na yanga huandaliwa miezi mitatu?
Naona cheti ni muhimu kwa sababu wanaochaguliwa ni wachache, kama hakukuwa na umuhimu wa hayo mafunzo si wangeshiriki watoto wote?
Hao waliochaguliwa wapewe vyeti vya kushiriki hayo mafunzo.
Achana na michezo, naongelea ishu ya matukio ya kiserikali mkuu.Angalia simba day ndo utaona maandalizi siyo ya wiki moja au mbili,zile pattern zilizochorwa pale uwanjani ndo utajua walikuwa na maandalizi ya kutosha na yanachukua muda. Na pia suala siyo miezi mitatu au minne suala ni lengo lake ni nini . Na usiyaite mafunzo hayo siyo mafunzo kwamba yana qualify kupewa cheti, ni event tu imeandaliwa basi ikiisha imeisha ikija event nyingine itahitaji set up nyingine. Sasa huwezi kuita shule nzima lazima kuchagua wachache sababu ile siyo haki ya kila mtu ni tukio tu limejitokeza unachukua watoto wachache basi wanafanya linaisha. Ni mambo ya kawaida sana kama unavyoona watoto wanatengeneza nyimbo na michezo Kwa ajiri ya kusherehesha kaka au dada zao kwenye graduation Kwa shule husika. Sasa watoto wakiandaa wimbo au mchezo kwa zaidi ya mwezi Kwa ajiri ya graduation tena Kwa kusimamiwa na walimu wao huwezi Sema wapewe vyeti. Ni mambo ya kawaida kabisa. Tulikuwa na michezo mashuleni na tulijiandaa kwa muda mrefu na kilikuwa kipindi pendwa kwa wanafunzi. Mechi tu ya shule na shule wanafunzi wanapiga zoezi miezi kadhaa sembuse hako katukio kadogo kwamba ndo wapewe cheti ππ. Sasa mtu si atamaliza chuo amejaza kabati la vyeti
Kwa mtoto There is no difference , iwe shughuli za kiserikali iwe shule iwe ya tukio lolote lile faida Kwa mtoto ni zile zile maana wao si viongozi wala si wanasiasa wao wanasherehesha tu. Wakitoka hapo wanachokumbuka ni michezo Yao tu huwezi kumuuliza kilichohutubiwa akakumbuka. Kwa hiyo regardless ni nani muandaaji Kwa mtoto itβs the same thingAchana na michezo, naongelea ishu ya matukio ya kiserikali mkuu.