Vijana wa HALAIKI huwa wananufaika na kipi baada ya mafunzo na shughuli ya kiserikali kupita?

Kwa mtoto There is no difference , iwe shughuli za kiserikali iwe shule iwe ya tukio lolote lile faida Kwa mtoto ni zile zile maana wao si viongozi wala si wanasiasa wao wanasherehesha tu. Wakitoka hapo wanachokumbuka ni michezo Yao tu huwezi kumuuliza kilichohutubiwa akakumbuka. Kwa hiyo regardless ni nani muandaaji Kwa mtoto it’s the same thing
We naona ujanielewa ila shukrani kwa mchango wako.
 
Ulitaka wapewe material things ? Unajua ni discipline kiasi gani imejengwa Kwa hao watoto Kwa kipindi chote hicho ? Unajua ni commitment kiasi gani watoto wamejengewa akilini mwao? Hapo wamejifunza collaboration na wenzao, multiculturalism, etc faida ni nyingi mno tatizo mnaangalia materials things Kama ma t shirt na ma suit ambayo hata mzazi anaweza kumnunulia
 
Kitu kizuri sana hiki Kwa watoto, Kwa mazingira yetu watoto wakipata exposure Kama hii kushiriki michezo na activity kubwa Kama hizi huwaongezea confidence na hu unlock potentials zao. Si ajabu kwetu sisi kukuta mtu kamaliza chuo lakini bado ana uoga uoga ila kwa wenzetu mtoto wa 15 ni mkubwa sana maana ameshakuwa exposed sehem mbali mbali. Hata bila vyeti ile tu ku take responsibility inamkuza mtoto ile kuwa sehem ya mafanikio ya jambo flan Ina instill kitu flan Kwa mtoto na kujiamini pia. Watoto wanajifunza mambo mengi sana kwa njia hizi kuliko kukaa tu darasani
Hakuna lolote. Izo events zingekua na faida hao viongozi wangewajaza watoto wao tu. haouni kule CCM chipukizi wakina Mwigulu wanapenyesha watoto wao, wanajua kule ndio kuna ulaji.
 
Habari zenu wakuu..
Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa.

Kama ilivyo kawaida kwa shughuli yeyote ile lazima yawepo maandalizi mazuri ili kuweza kufanikisha kwa ufanisi mkubwa.

Moja ya maandalizi ni pamoja na mafunzo ya halaiki kwa vijana waliochaguliwa kutoka shule mbalimbali ndani ya mkoa/wilaya husika. Zoezi la mafunzo kwa waliochaguliwa lilidumu kwa zaidi ya miezi miwili.

Je hawa vijana wa halaiki wananufaika na nini kitakachowatofautisha na vijana ambao hawakuchaguliwa baada ya shughuli ya kiserikali kufanyika? Kuna vyeti vitakavyowapa utambulisho kuwa walishiriki mafunzo hayo?

Kama hakuna nashauri kuwe na utaratibu huo wa kuwazawadia hata vyeti maana mpaka sasa naona vijana wameambulia kupewa track suti, raba na miamvuli. Ukizingatia walilazimika kusoma nusu siku na wakati mwingine kutokuingia darasani kabisa ili kushiriki mafunzo hayo ya halaiki.

NAWASILISHA....
View attachment 2963115View attachment 2963116View attachment 2963117
Wanaondoka na tracksuit 😀😀😀
 
Ulitaka wapewe material things ? Unajua ni discipline kiasi gani imejengwa Kwa hao watoto Kwa kipindi chote hicho ? Unajua ni commitment kiasi gani watoto wamejengewa akilini mwao? Hapo wamejifunza collaboration na wenzao, multiculturalism, etc faida ni nyingi mno tatizo mnaangalia materials things Kama ma t shirt na ma suit ambayo hata mzazi anaweza kumnunulia
Sina mengi ila Wapewe vyeti vya ushiriki.
 
Wanapandikizwa elements za kizalendo wangali watoto.
CAG kila siku anareport matrilion kupotea NO ACTION TAKEN
 
Hayo matukio ya simba na yanga huandaliwa miezi mitatu?
Naona cheti ni muhimu kwa sababu wanaochaguliwa ni wachache, kama hakukuwa na umuhimu wa hayo mafunzo si wangeshiriki watoto wote?
Hao waliochaguliwa wapewe vyeti vya kushiriki hayo mafunzo.
Mwanao kashiriki au?
Mbona unang'ang'ania vyeti mi nshashiriki hayo sana utotoni hayahitaji ujuzi wowote sasa hicho cheti kitamsaidia nini
 
Hakuna lolote. Izo events zingekua na faida hao viongozi wangewajaza watoto wao tu. haouni kule CCM chipukizi wakina Mwigulu wanapenyesha watoto wao, wanajua kule ndio kuna ulaji.
Hapa sasa unalinganisha vitu viwili tofauti , kuwa chipukizi wa ccm na hizi events siyo mutual exclusive kwamba ni either uchague Kimoja au kimoja kikitokea basi kingine hakitotokea. There is no way u can compare the two, na haviko kwenye mlengo mmoja. Mtoto anaweza kushiriki hizi events na bado akawa chipukizi vile vile. Watoto wa mwigulu huko wanakosoma nao wana michezo kama hii tena mingi tu, hizi international schools watoto wanasoma hadi miziki wanapiga magitaa na vinanda n.k, wanafundishwa hadi ku dance. Nenda seminary watoto wanapewa kuhudumia mashamba mwaka mzima nyie mbaongelea michezo ya three months. Ni Kwa bahati mbaya tu hizi shule za serikali hazina uwezo wa kufanya mambo Kama haya mashuleni ila ni muhimu sana .

Kipindi serikali Ina technical schools haya mambo yalikuwa kawaida mno shida sasa ni budget ndogo sana. Extra curricula ni muhimu sana walimu watakuwa wanaelewa. Events Kama hizi zinawapa watoto nafasi hiyo ambayo kwa wengi hawaipati

Pia kuwa chipukizi isionekane kwamba ndo top notch ya mafanikio Kwa mtoto nchini , kuna watu wanaona mtoto kuwa chipukizi ni takataka tu na upotezaji muda Kwa mtoto. Tunapojadiri merits za jambo flan hivi tuwe relevant otherwise mmeamua sasa kuingiza siasa pasipostahili.
 
Mara nyingi zawadi ni hizo truck suit wanazopewa na mara chache vipesa vya matumizi ... niliwahi shiriki back then
 
Yaani unafananisha izo kids activities za Feza wanaposoma watoto wa mwigulu na mafunzo wanayopewa watoto ya kukimbiza mwenge na kwenda kushinda kwenye mikutano ya CCM seriously.! Maelezo yako yote ni blah blah tu, ishu ni kwamba hizi events hazina faida ndio maana viongozi wanatanguliza watoto wa wanyonge, ziingekua na positive income kwa ubinafsi wa viongozi wangepeleka watoto wao, period.
 
Habari zenu wakuu..
Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa.

Kama ilivyo kawaida kwa shughuli yeyote ile lazima yawepo maandalizi mazuri ili kuweza kufanikisha kwa ufanisi mkubwa.

Moja ya maandalizi ni pamoja na mafunzo ya halaiki kwa vijana waliochaguliwa kutoka shule mbalimbali ndani ya mkoa/wilaya husika. Zoezi la mafunzo kwa waliochaguliwa lilidumu kwa zaidi ya miezi miwili.

Je hawa vijana wa halaiki wananufaika na nini kitakachowatofautisha na vijana ambao hawakuchaguliwa baada ya shughuli ya kiserikali kufanyika? Kuna vyeti vitakavyowapa utambulisho kuwa walishiriki mafunzo hayo?

Kama hakuna nashauri kuwe na utaratibu huo wa kuwazawadia hata vyeti maana mpaka sasa naona vijana wameambulia kupewa track suti, raba na miamvuli. Ukizingatia walilazimika kusoma nusu siku na wakati mwingine kutokuingia darasani kabisa ili kushiriki mafunzo hayo ya halaiki.

Mheshimiwa Dkt. Gwajima D wizara yako inahusika na watoto naomba kama unaweza kutoa muongozo/maelekezo yoyote kwenye hili utusaidie. Tunaomba ufikishe na haya mapendekezo yetu kwa faida ya watoto. Ahsante.

NAWASILISHA....
View attachment 2963115View attachment 2963116View attachment 2963117
Huwa wanapewa

Pilau ,Soda na maji buleysafiri kutoka shuleni na kurudi shuleni Bure pamoja na 10,000 kifuta machozi.

Vipi hapo?
 
Back
Top Bottom