Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter".

Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana!.

Nimeamua kutumia @ UMUGHAKA001

Wakuu wa twitter nifuateni huko kwa handle hiyo maana manyang'au yameshafanya yao
 
🤣🤣🤣pole sana
Mkuu halafu hayana hata aibu yanasema "Mimi ndiye Umughaka wa pale Jamii Forums waweza kunifuatilia hapa"


😂😂😂
 
Back
Top Bottom