Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter".
Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jinaππ,Daaah hatari sana!.
Nimeamua kutumia @ UMUGHAKA001
Wakuu wa twitter nifuateni huko kwa handle hiyo maana manyang'au yameshafanya yao