Vijana wa kazi waaminifu wanapatikanaje? (nina shida nao)

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi.

Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha nne.

Nataka vijana wawili kinyozi na wa kuendesha library ya kuingiza movie katika flash.

Jinsi ya kuwalipa nitakaa nao mezani nawaza kuwachaji kwa wiki. by the way kazi zote naziweza lakini narudia tena SIWEZI KUACHA AJIRA niliyonayo. asanteni.
 
Pole we, moja ya chanzo cha tatizo La ajira kwa vijana ni uaminifu.. Ingawa serikali inadhani ni ujuzi wa veta tu😁😁

Pambana mkuu, kupata mwaminifu ni Sawa na kuokota dhahabu... Sie tuliopigwa tushaacha biashara tu aweke a UTT tu!! 😁 🙏
 
katika taasisi binafsi kama sio mwaminifu kazi utasikia katika redio na vyombo vingine vya habari. ni shiida kubwa vijana wa sasa wengi sio waaminifu kabisa.
 
Uaminifu unahitajika kati ya mwajiri awe mwaminifu kulipa na mwajiriwa awe mwaminifu kufanya kazi na kulinda mali ya boss.

Upo wapi mkuu?
Unalipaje kazi ya library?
 
Watanzania tulio wengi tuna matatizo makubwa sana katika suala zima la uaminifu na kujituma katika kazi kwa pande zote mbili i.e muajiriwa na muajiri.

Tuna matatizo ya uvivu na kupenda mambo makubwa pasipo kuumiza akili na nguvukazi ili kujipatia kipato halali.

Ni bahati mno kumpata kijana wa kitanzania aliyetulia ,mwenye kujituma ,bidii na maarifa. Waajiri nao kwa upande wao Wana tatizo la dhuluma na unyonyaji tena wakati mwingine wa waziwazi.

Wizi pia ni changamoto kubwa sana katika sekta ya ajira.

Ukiwapata vijana waaminifu walipe stahiki zao kwa wakati
 
Mkuu ni kweli umeongea, lakini hizi kazi zinahitaji tu hesabu kwa wiki
 
Kama unataka uje na kilio ajili vijana.
Hapa natoka jirani yangu wampiga loss ya milion 4 kwenye mpesa
 
Watanzania tulio wengi tuna matatizo makubwa sana katika suala zima la uaminifu na kujituma katika kazi kwa pande zote mbili i.e muajiriwa na muajiri.

Tuna matatizo ya uvivu na kupenda mambo makubwa pasipo kuumiza akili na nguvukazi ili kujipatia kipato halali.

Ni bahati mno kumpata kijana wa kitanzania aliyetulia ,mwenye kujituma ,bidii na maarifa. Waajiri nao kwa upande wao Wana tatizo la dhuluma na unyonyaji tena wakati mwingine wa waziwazi.

Wizi pia ni changamoto kubwa sana katika sekta ya ajira.

Ukiwapata vijana waaminifu walipe stahiki zao kwa wakati
kabisa mdogo wangu kapiga job, mwajiri wake kamdhulumu tena ni 50k, yeye anasema ni 30k nikamwambia basi uilete hio 30k akasema atalet tarehe 30/03 mpaka leo hajaleta
 
Back
Top Bottom