nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Pole we, moja ya chanzo cha tatizo La ajira kwa vijana ni uaminifu.. Ingawa serikali inadhani ni ujuzi wa veta tu😁😁Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi.
Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha nne.
Nataka vijana wawili kinyozi na wa kuendesha library ya kuingiza movie katika flash.
Jinsi ya kuwalipa nitakaa nao mezani nawaza kuwachaji kwa wiki. by the way kazi zote naziweza lakini narudia tena SIWEZI KUACHA AJIRA niliyonayo. asanteni.
katika taasisi binafsi kama sio mwaminifu kazi utasikia katika redio na vyombo vingine vya habari. ni shiida kubwa vijana wa sasa wengi sio waaminifu kabisa.Pole we, moja ya chanzo cha tatizo La ajira kwa vijana ni uaminifu.. Ingawa serikali inadhani ni ujuzi wa veta tu😁😁
Pambana mkuu, kupata mwaminifu ni Sawa na kuokota dhahabu... Sie tuliopigwa tushaacha biashara tu aweke a UTT tu!! 😁 🙏
hesabu unaleta kwa wiki mkuuUaminifu unahitajika kati ya mwajiri awe mwaminifu kulipa na mwajiriwa awe mwaminifu kufanya kazi na kulinda mali ya boss.
Upo wapi mkuu?
Unalipaje kazi ya library?
wakizoea Tawn changamoto sanaUkitulia utawapata Kijijini kwenu,kabla hawajajaruka utakua utakua umeshafaidika nao unatafuta wengine.ukipata waamifu wakudumu shukuru
wanaleta hesabu kwa wiki mkuuKama huwalipi vyema, sahau huo unaosema "uaminifu".
mkoa gani mkuu tuibukehesabu unaleta kwa wiki mkuu
uje na barua ya mwenyekiti wa serikali mkuu usije kichwa kichwa ndo utaratibu wa kazimkoa gani mkuu tuibuke
hio ipo wazi ni utaratibu hata voters ID ukitaka, NIDA,birth cert, tiketi wewe tu mkuuuje na barua ya mwenyekiti wa serikali mkuu usije kichwa kichwa ndo utaratibu wa kazi
Mkuu ni kweli umeongea, lakini hizi kazi zinahitaji tu hesabu kwa wikiWatanzania tulio wengi tuna matatizo makubwa sana katika suala zima la uaminifu na kujituma katika kazi kwa pande zote mbili i.e muajiriwa na muajiri.
Tuna matatizo ya uvivu na kupenda mambo makubwa pasipo kuumiza akili na nguvukazi ili kujipatia kipato halali.
Ni bahati mno kumpata kijana wa kitanzania aliyetulia ,mwenye kujituma ,bidii na maarifa. Waajiri nao kwa upande wao Wana tatizo la dhuluma na unyonyaji tena wakati mwingine wa waziwazi.
Wizi pia ni changamoto kubwa sana katika sekta ya ajira.
Ukiwapata vijana waaminifu walipe stahiki zao kwa wakati
wewe uko wapi nione kama naweza kukupa mchongo mkuuhio ipo wazi ni utaratibu hata voters ID ukitaka, NIDA,birth cert, tiketi wewe tu mkuu
kabisa mdogo wangu kapiga job, mwajiri wake kamdhulumu tena ni 50k, yeye anasema ni 30k nikamwambia basi uilete hio 30k akasema atalet tarehe 30/03 mpaka leo hajaletaWatanzania tulio wengi tuna matatizo makubwa sana katika suala zima la uaminifu na kujituma katika kazi kwa pande zote mbili i.e muajiriwa na muajiri.
Tuna matatizo ya uvivu na kupenda mambo makubwa pasipo kuumiza akili na nguvukazi ili kujipatia kipato halali.
Ni bahati mno kumpata kijana wa kitanzania aliyetulia ,mwenye kujituma ,bidii na maarifa. Waajiri nao kwa upande wao Wana tatizo la dhuluma na unyonyaji tena wakati mwingine wa waziwazi.
Wizi pia ni changamoto kubwa sana katika sekta ya ajira.
Ukiwapata vijana waaminifu walipe stahiki zao kwa wakati
Sasa mkuu tuache kuajiri vijana kisa boss wako katapeliwa na vijana wale?Kama unataka uje na kilio ajili vijana.
Hapa natoka jirani yangu wampiga loss ya milion 4 kwenye mpesa
siwezi kudisclose exact location ila ni kanda ya ziwa vijijiniwewe uko wapi nione kama naweza kukupa mchongo mkuu