Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
 
Wanataka serikali ibane matumizi yasiyo ya lazima, kuanzia safari za nje, bajeti ya hela za (confidential), kawaida na ujinga na uozo wote.

Wanataka rais akubali na atoe pole kwa wafiwa 20 plus waliouwawa.

Wanataka kodi zao na matumizi yake yaelezewe..

Ubabe na ujinga wa kunyamazisha vyombo vya habari ukome..
 
Financial bill haijawa withdrawn bali Rais kagoma kuweka saini yake ili iwe sheria. Wenye mamlaka wa kuiondoa ni walewale waliyoipitisha. Ni lazima Bunge likae tena na kuijadili, ama iondolewe au wanaweza wasikubaliane na Rais. Ndo sababu vijana bado hawajafuta maandamano yao kwa vile wanajua hili ni suala la kisheria wala si tamko tu toka kwa Bwana Mkubwa.
 
You are right.
 
Je Bunge linaweza kumuita Rais na kueleza sababu za kugoma kutia saini muswada.
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
You do realize ili hiyo bill iondoke moja kwa moja ni lazima bunge nao waifute? Else after 21 days it will pass without even president sign

So wao hawataki hiyo cabinet na president kabisa
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Wanavuta bangi wanadhani watu wote wana akili za kushinda mitandaoni na kuandika ujinga na wivu, wanaweza wakawa ni wengi lakini bado nchi hizi za afrika mashariki hazijafikia wakati wa kuongozwa na mihemko ya mitandaoni.

Hivi sasa watapigwa kweli kweli na hao wanajeshi , mwanzoni walionekana wana hoja na wanajeshi wakawa wakiwahurumia kwamba wanayo mantiki katika hicho wanachokifanya, lakini wanapoenda watapokea mkong'oto wa uhakika kutoka kwa hao hao waliowaachia wakafanya walichofanya.
 
Back
Top Bottom