Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Aliachiliwa, mashahidi wote waliokuwa watoe ushahidi dhidi yake hawakufika mahakamani, walikufa vifo vya kutatanisha au kupotea kesi ikashindwa kuendelea majaji wakaifuta tu.

dah! jamaa na bado alipata mamilioni ya watu wa kumpigia kura? Kenya nako ni ovyo sana
 
Hakuna ugumu

Viongozi wa namna wakikataaga na kujifanya vichwa ngumu, huwa wanalazimishwa

Na option ya lazima na ya mwisho kabisa ni JESHI kutwaa madaraka ya uongozi wa kiraia.

Na hii ikitokea, serikali ya viongozi wa sasa watajuta maana mmoja baada ya mwingine watakuwa wanaswekwa ndani na kufunguliwa mashitaka!
Ngoja tuone itakuaje
 
Back
Top Bottom