DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Jibuumeanza matusi, nikujibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibuumeanza matusi, nikujibu?
Mtu mweusi ni mjinga kupindukia.1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Ruto kaukwaa Uraisi at a wrong time.Ila twende mbele turudi nyuma, Ruto ni bonge la kiongozi.
Sijui kwa nini watu weusi kila akitokea kiongozi mzalendo anapingwa sana na watu wake mwenyewe!
Ruto lazima ang'oke1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Tatizo ni demokrasia inapozidi mipaka madhara yake ndio haya, huwezi ukaendesha nchi kwa kumsikiliza kila mru kila wakati, kuna wengine ni wapuuzi tu wenye uelewa mdogo wa kile wanachokitaka...Ruto alijifanya " chura kiziwi. "
..alifuata ushauri wa Mama Abduli kudharau malalamiko ya waandamanaji.
Uhalali huu wa kugoma unaweza kuwapoteza kabisa, hata wasomali walikuwa na mawazo haya haya ya kuwa na uhalali wa kugoma na kupinga kinachofanywa na serikali.Mkuu ndio umefikia hapo kwenye kufikiri kwako kwote ? Yan kwa akili zako zote mkuu ? Unajua kwanini wakenya wamegoma na wanaendelea kugoma ?
Jeshi la Kenya limeamua kutumia ustaarabu tu katika kushughulika na hizo vurugu, wangeamua kuwafanyizia madhara yangekuwa makubwa na jamii ya kimataifa ingeishambulia serikali yao.Hivi unadhani wanajeshi wanaweza kuwashinda raia???
If unaamini hivyo,hujui nguvu ya raia kabisaa
Trilioni 49 zimepitishwa leo mkuu.Wewe Baki na ujinga wako. Unajifanya una hasira na Wakenya wakati hata bajeti ya nchi yako hujui imepitishwa lini?.
Acha kucheza na nguvu ya umma (people's power) ndugu. Hii huwa ndiyo silaha ya mwisho ktk mapambano. Hakuna bomu wala bunduki ya kuiweza!Wanavuta bangi wanadhani watu wote wana akili za kushinda mitandaoni na kuandika ujinga na wivu, wanaweza wakawa ni wengi lakini bado nchi hizi za afrika mashariki hazijafikia wakati wa kuongozwa na mihemko ya mitandaoni.
Hivi sasa watapigwa kweli kweli na hao wanajeshi , mwanzoni walionekana wana hoja na wanajeshi wakawa wakiwahurumia kwamba wanayo mantiki katika hicho wanachokifanya, lakini wanapoenda watapokea mkong'oto wa uhakika kutoka kwa hao hao waliowaachia wakafanya walichofanya.
Jeshi la Kenya limeamua kutumia ustaarabu tu katika kushughulika na hizo vurugu, wangeamua kuwafanyizia madhara yangekuwa makubwa na jamii ya kimataifa ingeishambulia serikali yao.
Ok sawa kwa akili yako nani atafidia uharibifu huo? Kama si walewale wananchi kwa kodi zao? Jiongeze🙃Watanzania ndo zetu hizo, kujifanya tunajua sana kuhoji na wastaarabu.Disobedience ni njia mojawapo ya kushinikiza madai - nchi za kiafrika hizi ustaarabu watawala hawajali- Duniani kote changes zimeletwa kwa sacrifice/ kujikana/ paying the price.Unataka changes huku upo kwenye kiyoyozi, unatembea unakuka popcorn kwenye makundi et unaandamana??Umeona wapi hii, hujasoma historia.??
Watanzania ndo maana hata katiba tu kudai tumeshindwa..watu wako bizy lkn hata kinachozalishwa hakionekani..
Watu walipotezwa/potea lkn walaa watu wako kimya..mpaka yamkute.
Ni raha sana kuwa kiongozi au Rais Tz...
Sio ishu ya ustaarabu hapo Bali ni ishu ya akili na utu wa binadamuJeshi la Kenya limeamua kutumia ustaarabu tu katika kushughulika na hizo vurugu, wangeamua kuwafanyizia madhara yangekuwa makubwa na jamii ya kimataifa ingeishambulia serikali yao.
Hakuna ugumuWanataka Ruto a resign kitu ambacho ni ngumu sana
Tatizo la ujana ni mihemko, nguvu ya kufikiri na wepesi wa kufanyia kazi maamuzi ni vitu vinawadanganya.Sio ishu ya ustaarabu hapo Bali ni ishu ya akili na utu wa binadamu
Ni suala la kuamua tuue ndugu zetu mamia kwa maelfu kwa ajili ya kulinda kundi dogo la wajiitao "watawala" au serikali itii matakwa ya watu?
La mwisho ndilo Jibu.
Na Rais Williams Ruto alijirudi haraka sana. Kabla alitoa speech kuwaita wananchi wanaopinga sera ya kodi ya serikali yake kuwa ni "criminals". That was so bad to him
Hilo lika - escalate violence zaidi. Haikuchukua muda akatokea tena kutoa speech nyingine kusema, "..naongoza serikali lakini pia Mimi ndiye kiongozi wa wananchi wa Kenya. Serikali imesikia na kuwaelewa watu. Tunaachana na financial bill hii, sitasaini"
Hata hivyo, it was too late kwani sasa vijana wanamtaka ajiuzulu immediately au la the situation will go to worst..!
Vijana kwa Sasa kila mahali wanalenga kuharibu familia na mali za viongozi wao kuanzia wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa (Governors) na wengine. The situation in Kenya is bad..
Unajua usemacho kweli Mr Steven Joel Ntamusano?Tatizo la ujana ni mihemko, nguvu ya kufikiri na wepesi wa kufanyia kazi maamuzi ni vitu vinawadanganya.
Wanaweza kuwa na haki ya kufanya hivyo lakini hekima ni muhimu sana. Vijana wanaandamana wakimtukana mama yake Ruto kwa kutaja lile tusi la kiungo cha kike!!, pia maandamano huenda pamoja na uhalifu na upotevu wa amani.Unajua usemacho kweli Mr Steven Joel Ntamusano?
Wewe unafikiri mpaka mambo kufikia hatua hii ya uharibifu, imeanzia wapi?
Imeanzia kwenye maonyo na malalamiko ya kawaida
Lakini kama ujuavyo na kama tu ilivyo hapa kwetu Tanzania, watawala/viongozi wa serikali zetu ni jeuri na ni vichwa ngumu, hawasikilizi wala kuwaelewa wananchi wao.
Hufikia hadi hatua kuwaita wananchi wao majina mabaya; criminals, vibaka, wavuta bhangi, wanywa viroba nk.
Why? Eti tu kwa sababu wanapinga sera na mipango ya hovyo ya serikali zao!!!
Wanaamini kuwa polisi na Jeshi ni Kinga yao kama ikitokea umma umechachamaa
Kwa hiyo hakuna cha mihemko hapo. Serikali imeshawa - push watu hadi ukutani. Wafanyeje Sasa? Ni kupambana na ijulikane nani mwenye nguvu: serikali au umma unaowekaga serikali madarakani?
Gen Z wetu wako bize kubeti mkeka.