Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Wanavuta bangi wanadhani watu wote wana akili za kushinda mitandaoni na kuandika ujinga na wivu, wanaweza wakawa ni wengi lakini bado nchi hizi za afrika mashariki hazijafikia wakati wa kuongozwa na mihemko ya mitandaoni.

Hivi sasa watapigwa kweli kweli na hao wanajeshi , mwanzoni walionekana wana hoja na wanajeshi wakawa wakiwahurumia kwamba wanayo mantiki katika hicho wanachokifanya, lakini wanapoenda watapokea mkong'oto wa uhakika kutoka kwa hao hao waliowaachia wakafanya walichofanya.
Mkuu ndio umefikia hapo kwenye kufikiri kwako kwote ? Yan kwa akili zako zote mkuu ? Unajua kwanini wakenya wamegoma na wanaendelea kugoma ?
 
Akili za kitoto taabu sana hawawezi kuona kuwa Somalia iliharibiwa kwa akili za namna hii hii za hawa madogo wa Gen Z, watafika mahali kila mtaa utataka kuwa na serikali yake na uporaji unakuwa ndio sheria ya kila siku mtaani.

..Ruto alijifanya " chura kiziwi. "

..alifuata ushauri wa Mama Abduli kudharau malalamiko ya waandamanaji.
 
Akili za kitoto taabu sana hawawezi kuona kuwa Somalia iliharibiwa kwa akili za namna hii hii za hawa madogo wa Gen Z, watafika mahali kila mtaa utataka kuwa na serikali yake na uporaji unakuwa ndio sheria ya kila siku mtaani.
Wengine hawaoni haya mazara wao wanachukulia poa na kuona ndio ujanja
Asa kwenye machafuko amani itakuaje?
 
Wakenya ni wapuuzi, vitu ambavyo vinazungumzika kwa njia ya demokrasia wao wanaona sifa kufanya vurugu,

Wamechagua ugali maharage na pilipili tena kwenye vita.

Kingine jeshi la kenya ni dhaifu sana tena dhaifu mno.
Pakichafuka tunafunga mipaka hatutaki wakimbizi wakikenya waje tuaribia nchi yetu
 
Mitandaoni wakati watu wapo barabarani? Wakenya sio waoga kama waTanzania hata bungeni zilikua zinapigwa risasi kabisa za AK 47 wakafa 20, ila watu zaidi ya elfu 5 wakavunja geti.

Huwezi kuua waandamanaji laki 5 zaidi utaua mamia na waliobaki watakuvamia. Hakunaga bunduki inayoshinda umma usio na cha kupoteza.
Alaf mkaishia kula wali akati wenzenu nyuma wamekufaa nyie ni mazuzuuuuu
 
Punguza mihemko. Wakenya walitafisiri Finance bill yao kwa Lugha ya makabila 20 ya nchini Kenya ili watu wasome kwa Lugha zao waelewe kinachobishaniwa. Ila bongo asilimia 99 ya wananchi ukiwauliza sentensi ya kwanza kwenye Finance bill inasemaje hawajui na hata kujua kwamba Jana Finance Bill ya Tanzania ilipigiwa kura na kupita wengi hawajui. Sasa kati ya wewe mtanzania na Wakenya nani mjinga. Punguza unafiki.
Finance bill yetu tulitaka vitu kama tozo kwenye gas itoke na wameitoa bila hata kuandamana na kuvamia canteen ya bunge
 
Usimfananishe rais wetu na huyo mbutika uko ..kua na adabu

..Rais Samia alisema ameyapuuza maandamano na madai ya Chadema.

..Rais Ruto na bunge lake walipuuza maandamano na madai ya wananchi wao.

..binafsi nahoji BUSARA ya kiongozi kujitapa hadharani kwamba anapuuza malalamiko na hoja za watu anaowaongoza.

..Rais wetu amefikia mpaka kujiita " chura kiziwi " kwa maana kwamba yeye ni kiongozi aliyemsikiliza malalamiko na madai ya anaowaongoza.
 
Back
Top Bottom