Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Kwetu Gen Z hakuna, kuna Z Gen yaani Zezeta Generation.

Kazi yao ni kuyahonga Manamake makubwa Chipsi kavu.
Ukiona hivyo hasira ya Mungu haipo Mbali hasa ukizingatia mpaka manabii wachungaji ,mashehe na maparoko wanatafuta fedha kwa njia za utapeli na wizi . Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote.
 
Katika siasa za Kenya kuna mambo mengi nyuma ya pazia! Kwanza nani anaratibu kikundi hiki cha GEN Z? Tunajuaje kama ni wanasiasa wenye nia ovu na Ruto? Ok sawa Katiba inaruhusu maandamano Je Katiba inaruhusu uharibifu wa mali za raia na serikali? Tuhoji km rational people!
Watanzania ndo zetu hizo, kujifanya tunajua sana kuhoji na wastaarabu.Disobedience ni njia mojawapo ya kushinikiza madai - nchi za kiafrika hizi ustaarabu watawala hawajali- Duniani kote changes zimeletwa kwa sacrifice/ kujikana/ paying the price.Unataka changes huku upo kwenye kiyoyozi, unatembea unakuka popcorn kwenye makundi et unaandamana??Umeona wapi hii, hujasoma historia.??
Watanzania ndo maana hata katiba tu kudai tumeshindwa..watu wako bizy lkn hata kinachozalishwa hakionekani..
Watu walipotezwa/potea lkn walaa watu wako kimya..mpaka yamkute.
Ni raha sana kuwa kiongozi au Rais Tz...
 
Kenya itafutika muda sio mrefu na itarudi kuwa nchi ya wakenya wanyonge kama ilivyokuwa Tanzania baada ya Azimio la Arusha. tutakua tumewaacha nyuma sana.
Umeongea kwa hisia kali. Kwa Kipande hicho juu ,it seems you are not informed kuwa CCM ni kundi dogo la watu, KAMA ULIVYOSEMA KWENYA KUWA MABEPARI WACHACHE, ambao ndio wala nchi hii. The rest including you and me are servants of the ruling class, very few of them enjoying the HEAVY, DELICIOUS cake of this country.

Unasahau sheria hizi za kujinufaisha kundi dogo la watawala

1. The Judges (remuneration and - terminal benefits) act, 2007

https://www.lrct.go.tz/uploads/documents/sw-1601995474-16-2007 The Judges (Remuneration and Terminal Benefits) Act, 2007 (Act No. 16 of 2007).pdf
2. The amendment of the Political Service Retirement Benefits Act targets spouses of top leaders including the President, the Vice President and ...
3. ongezea..................
4. Ongezea........
5. ......NA SHERIA ZINGINE ZA HIVYO......
To crown it all mashangingi /Vx, V8 wanayoyaensha kwenye nchi ambayo haina dawa hospitali etc etc etc
 
Haja withdraw chochote maana kwa sheria ya kwao bunge liliridhia raisi hata asiposaini baada ya siku 21 inakuwa sheria. Iliktakiwa kurudishiwa Bungeni ifanywe mabadiliko kutoka na mapendeezo ya raisi. Bunge limeenda likizo mpaka july likirudi siku 21 zitakuwa zimepita so itakula kwa Gen Z so dawa niki shikilia hapo hapo mpaka kieleweke.
Hahaha! Ruto anataka kuwaachia wabunge jumba bovu kuwa yeye hakuridhia maana hajasaini ila kwa kuwa hiyo issue ipo chini ya Bunge basi baada ya 21 days itakuwa operational! ..Vijana nao wameshtukia hiii
 
Hivi unadhani wanajeshi wanaweza kuwashinda raia???

If unaamini hivyo,hujui nguvu ya raia kabisaa
By the way wanacheshi wao pia ni raia na mwisho wa siku wakinusa madaraka hawachelewi kukutupa kando na wao kuchukua nchi kwa minajili kwamba wanaweka sawa mambo waitishe uchaguzi baadae (na hio baadae huenda isifike)

These are all politics ambazo ni kufunika Kombe mwanaharamu apite; ila cha maana wanahitaji kuweka mambo sawa na mambo hayapo sawa madogo wengi mitaani hawana future prospects
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Wewe yako yamekushinda unataka ukawashauri wanaume acha kujipendekeza
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Wewe ngoja nchi yako itafunwe na upo kimya. Kenya wanafanya kwa vitendo dhidi ya matapeli. Wananchofanya wakenya ndiyo njia pekee ya kuondoa matapeli
 
Akili za kitoto taabu sana hawawezi kuona kuwa Somalia iliharibiwa kwa akili za namna hii hii za hawa madogo wa Gen Z, watafika mahali kila mtaa utataka kuwa na serikali yake na uporaji unakuwa ndio sheria ya kila siku mtaani.
Watoto hawaogopi kifo ila wewe mzee unaogopa kifo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeongea kwa hisia kali. Kwa Kipande hicho juu ,it seems you are not informed kuwa CCM ni kundi dogo la watu, KAMA ULIVYOSEMA KWENYA KUWA MABEPARI WACHACHE, ambao ndio wala nchi hii. The rest including you and me are servants of the ruling class, very few of them enjoying the HEAVY, DELICIOUS cake of this country.

Unasahau sheria hizi za kujinufaisha kundi dogo la watawala

1. The Judges (remuneration and - terminal benefits) act, 2007

https://www.lrct.go.tz/uploads/documents/sw-1601995474-16-2007 The Judges (Remuneration and Terminal Benefits) Act, 2007 (Act No. 16 of 2007).pdf
2. The amendment of the Political Service Retirement Benefits Act targets spouses of top leaders including the President, the Vice President and ...
3. ongezea..................
4. Ongezea........
5. ......NA SHERIA ZINGINE ZA HIVYO......
To crown it all mashangingi /Vx, V8 wanayoyaensha kwenye nchi ambayo haina dawa hospitali etc etc etc

Habari ya CCM achana nayo mana mwakani iataondoka madarakani kwa katiba hii hii na itatumika kuwaadhibu kwa katiba hii hii na watakaonekana kuwa wamehujumu nchi maja kwa moja itatumika kutaifisha mali zao.

Kuendelea kuwapa umaarufu watu wachache eti ndio wenye maamuzi ya kumpa ushindi mtu aliyeshindwa kwa kura ni kumtukuza shetani na matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona kwa wachache kushindana kuiba na kuuza nchi na kuuza nchi kwa wageni.

Mwaka huu na mwaka kesho CCM haina tena nguvu ya kuiba kura ikawa salama .

Vijana wa Tanganyika wajitokeze tu kwa wingi kupiga kura.
Wazee wa CCM hawana ubavu wa kuiba kuiba kura Tanganyika kama
Umeongea kwa hisia kali. Kwa Kipande hicho juu ,it seems you are not informed kuwa CCM ni kundi dogo la watu, KAMA ULIVYOSEMA KWENYA KUWA MABEPARI WACHACHE, ambao ndio wala nchi hii. The rest including you and me are servants of the ruling class, very few of them enjoying the HEAVY, DELICIOUS cake of this country.

Unasahau sheria hizi za kujinufaisha kundi dogo la watawala

1. The Judges (remuneration and - terminal benefits) act, 2007

https://www.lrct.go.tz/uploads/documents/sw-1601995474-16-2007 The Judges (Remuneration and Terminal Benefits) Act, 2007 (Act No. 16 of 2007).pdf
2. The amendment of the Political Service Retirement Benefits Act targets spouses of top leaders including the President, the Vice President and ...
3. ongezea..................
4. Ongezea........
5. ......NA SHERIA ZINGINE ZA HIVYO......
To crown it all mashangingi /Vx, V8 wanayoyaensha kwenye nchi ambayo haina dawa hospitali etc etc etc
 
wastaarabu.Disobedience ni njia mojawapo ya kushinikiza madai
Sasa kuvunja na kuiba Maduka na kuchoma moto mali za Raia wenzako wewe unaona sawa kama unaona sawa? je wewe ukivunjiwa na kuporwa na hatimae kuchoma moto Property yako utajisikiaje?!
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Mabaya, ni mengi bro! Huo mswada ilikuwa ni trigger tu,
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
NDUGU WANACHOKITAFUTA WATAKIPATA SOOON
 
Sasa kuvunja na kuiba Maduka na kuchoma moto mali za Raia wenzako wewe unaona sawa kama unaona sawa? je wewe ukivunjiwa na kuporwa na hatimae kuchoma moto Property yako utajisikiaje?!
Acha uongo wewe Yale maduka ya wabunge waliopitisha financial bill onyesha wapi wamechoma maduka ya raia wa kawaida
 
NDUGU WASIOMJUA RUTO WAKAULIZE MAWAZIRI WALIOKUWA NAE ENZI ZA UJANA UJINGA HAELEWI HII YA KUJITOA ASISAIN N KUSUBIRIA WALE MANIGA WALIOTUMWA KAMA WATASOGEA TENA APITE NAO

WHO R U UMWONDOE MADARAKAN WAKINGA WALEE
 
NDUGU WANACHOKITAFUTA WATAKIPATA SOOON
Acha
NDUGU WASIOMJUA RUTO WAKAULIZE MAWAZIRI WALIOKUWA NAE ENZI ZA UJANA UJINGA HAELEWI HII YA KUJITOA ASISAIN N KUSUBIRIA WALE MANIGA WALIOTUMWA KAMA WATASOGEA TENA APITE NAO

WHO R U UMWONDOE MADARAKAN WAKINGA WALEE
Kwahiyo wewe ndio unamjua ruto kuliko wakenya wanaoandamana acha ujinga yaani dume Zima unaogopa risasi mzee wewe ukaolewe tu
 
Back
Top Bottom