Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Kwani wananchi wakitaka aondoke Kuna shida?. Wao si ndio wamechagua. Usilete mambo ya CCM Kenya, serikali ni ya wananchi sio kitu kimeshuka kutoka mawinguni.
Kule wana ukabila, si ajabu kila kabila linataka mtu wake..... go far beyond these simple demands........walianza na finace bill, sasa hiyo imeisha wanataka aondoke........
 
Kwakuwa wameshapata walichotaka wapumzike sasa serikali ifanye kazi.
Ni rahisi sana kuangusha na kuisambaratisha serikali iliyochaguliwa kwa haki, lakini nchi ikiparaganyika ni ngumu kuinganisha.
Machungu ya kuishi kwenye taifa lililoparaganyika watayahisi wote.
 
Watu wanaongelea bajeti wewe unaongelea wivu. Wivu ni personal bajeti ni national issue.
Hata kusoma unajua ? Ngoja nirudie nilichoweka hapo juu....

Hata aje nani bila a complete overhaul of the current status quo vitu havitabadilika na huku hayo yatatokea punde...
Kwahio bila kuondoa root cause ya haya matatizo ambayo yote yanatokana na kukosa ujira wa kotosha hakuna kitakachobadilika sababu watu wangekuwa na ujira wa kutosha hizo tax hikes kwao zisingewasumbua... Now how can you get ujira katika karne ya automation

Nguvu kazi katika karne ya sasa haiitajiki tena hivyo ajira ni tatizo na kama ajira ni tatizo katika nchi ya kipebari ambapo means of production zinahodhiwa na wachache wengi hakuna wanachopata (sababu wangepata ujira through ajira
Kwa lugha nyingine watu hawa ni shida kujipatia riziki zao za kila siku sababu hawana ajira zenye ujira kesho yao haieleweki hivyo they have nothing to lose...
leo hii wanachopata ni wivu tu wa kuona what they can not have.....
Na sababu kuna gap in classes kinachotekea ni watu kupata hasira na kuona wote wenye navyo ni majizi au wanawanyonya kama sio mwanasiasa (ambaye kweli wengi wao ni majizi) basi watasema ni muhamiaji anayechukua kazi zao) In short bila rethink of strategies expect mambo kama haya kuwa daily occurance all over the wolrd after Gen Z it will be Generation Alpha (kwao huenda hali ikawa ngumu zaidi)
 
Wanavuta bangi wanadhani watu wote wana akili za kushinda mitandaoni na kuandika ujinga na wivu, wanaweza wakawa ni wengi lakini bado nchi hizi za afrika mashariki hazijafikia wakati wa kuongozwa na mihemko ya mitandaoni.

Hivi sasa watapigwa kweli kweli na hao wanajeshi , mwanzoni walionekana wana hoja na wanajeshi wakawa wakiwahurumia kwamba wanayo mantiki katika hicho wanachokifanya, lakini wanapoenda watapokea mkong'oto wa uhakika kutoka kwa hao hao waliowaachia wakafanya walichofanya.
Hivi unadhani wanajeshi wanaweza kuwashinda raia???

If unaamini hivyo,hujui nguvu ya raia kabisaa
 
Kenya’s MPs are notorious for their insatiable greed. Despite earning $78,500 annually—an astronomical sum in a country where the average citizen scrapes by on a fraction of that amount—they constantly push for higher pay and allowances. This relentless pursuit of personal enrichment comes at the expense of the very people they are supposed to serve. The contrast between their lavish lifestyles and the abject poverty of their constituents is a grotesque tableau of inequality.
 
To be honest Kenya ni nchi ambayo imepiga hatua sana kwenye mambo ya consciousness kwa wanachi wao unlike mambwiga ya huku T
 
Lakini kwa mwanasheria as long as Rais hajai sign, then all is Ok! Hakuna kitu hapo, the statu quo remains !

Step by step, amekataa kusain, then with time itafutwa as they demand. sasa kula wali bungeni inaashiria nini?
Wenzetu hawadanganyiki kirahisi hivyo, mswada hauwezi kufutwa kwa matamko bali sheria,
 
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community

Wakenya wanataka katiba ya nchi yao iwe na manufaa kwao sasa . Sio kuwanufaisha wanasiasa na mihimili ya dola tuu.
Yaani wanataka umma ndio uwe na nguvu ya maamuzi ndio maana wakalifuta bunge kama takataka. Wakachoma mahakama kama takataka. Wamebakiza ikulu ya watawala wanaowaza ufahari wao na jamaa zao.

Hata hivyo Ruto amesahau kuwa nchi yake ni nchi ya kibepari inayofungamana na Marekani kwa karibu sana.
Acha wavune makosa ya Mwasisi wa Taifa lao. Baada ya kuwatumia wakenya kumwaga damu zao wakati wa kudai uhuru alipoingia ikulu akajimilikisha ardhi karibu yote ya Kenya badala ya kuigawa kwa wananchi kama Nyerere.
Kenya itafutika muda sio mrefu na itarudi kuwa nchi ya wakenya wanyonge kama ilivyokuwa Tanzania baada ya Azimio la Arusha. tutakua tumewaacha nyuma sana.
Siku zinakuja ambao mabepari Afrika haitakua sehemu salama ya kuja kwani wenye nchi watakataa kunyonywa na kufanya kazi za kunywesha wine mbosi na kuwatawadha makalio yao ndipo wapate pesa za kujikimu kwenye nchi yao ya asili iliyoumbwa na Mungu na kuwekewa kila rasilimali. Hapana !!!😡😡😡
 
Back
Top Bottom