econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Umeona wananchi walivyowashangilia KDF mitaani?. Huo ndio ujumbe kwa Ruto. Wananchi wanataka jeshi lichukue nchi, that's all.exactly! demand yao amesalimu amri, sasa why gen z turn violent?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona wananchi walivyowashangilia KDF mitaani?. Huo ndio ujumbe kwa Ruto. Wananchi wanataka jeshi lichukue nchi, that's all.exactly! demand yao amesalimu amri, sasa why gen z turn violent?
Kwani wewe ni Mkenya!?1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Punguza mihemko. Wakenya walitafisiri Finance bill yao kwa Lugha ya makabila 20 ya nchini Kenya ili watu wasome kwa Lugha zao waelewe kinachobishaniwa. Ila bongo asilimia 99 ya wananchi ukiwauliza sentensi ya kwanza kwenye Finance bill inasemaje hawajui na hata kujua kwamba Jana Finance Bill ya Tanzania ilipigiwa kura na kupita wengi hawajui. Sasa kati ya wewe mtanzania na Wakenya nani mjinga. Punguza unafiki.Wakenya ni wapuuzi, vitu ambavyo vinazungumzika kwa njia ya demokrasia wao wanaona sifa kufanya vurugu,
Wamechagua ugali maharage na pilipili tena kwenye vita.
Kingine jeshi la kenya ni dhaifu sana tena dhaifu mno.
Futa Lugha ya kuwithdraw. Rais wa Kenya Hana mamlaka ya kuwithdraw finance bill, yeye ana mamlaka ya ku assent au kutoa assent basi. Mwenye mamlaka ya kuwithdraw bill ni bunge pekee.Nakubaliana na wewe kabisa. Vijana walikuwa sahihi kupinga hiyo kitu ha fedha. Si amesha withdraw bill na hakuisaini? sasa kuvamia bunge kunatoka wapi? wasiwasi wangu ni kuwa kusije kuwa na elements za hooliganism!
Itakuwa ni mkenyaWewe ni nani kwenye siasa za Kenya???
Katiba ipi? Inayosema Tanzania ni nchi ya Kijamaa wakati in practice ni mixed au katiba iliyotaja mahakama ya Katiba, ila hiyo mahakama kutokana na udhaifu wa katiba haijwahi kukaa na kuamua kesi za kikatiba kisa haija taja mwenye locus standi ya kufungua kesi.hapo ndio utaona ubora na umadhubuti wa katiba ya tanzania
Umeshindwa kujadili bajeti ya nchi yako. Hata ukiulizwa ukurasa wa kwanza unasema Nini hujui, ila kimbelembele kujadili bajeti ya Kenya. Punguza unafiki.amesema tujadiliane kama member wa jumuia ni kipi hamuelewi enyi kizazi cha nyoka?
Ndiyo maana mimi huwa nasema huu mtindo wa ''the winner takes all'' na kuwa na rais mtendaji siyo mzuri. Serikali za waziri mkuu mtendaji na serikali kuundwa kulingana na kura ndiyo mambo yote. Kwenye situation kama hii inakuwa rahisi kuibana serikali ili uitishwe uchaguzi wa kupima imani za wananchi kwa serikali.Na kumaliza hata muhula mmoja itakuwa ngumu sana kwake ameanza na mguu mbovu.
Wao wanasema kuna Makundi ya Kihalifu yame Hijack Maandamano yao na kuanza Uporaji.There you are! ! Hapo ndipo GEN Z wamevuruga. Walikuwa katika msitari ulionyooka, lkn baada ya kuanza uharibifu, ndiyo nikapose thread hii! Wanataka nini? Rutto aondoke? aje nani?
Tanzania hata ukijadili ni kama kutafuta stress tu. Mi-ananchi imelala fofofo utadhani nyumbu wa Manyara.Umeshindwa kujadili bajeti ya nchi yako. Hata ukiulizwa ukurasa wa kwanza unasema Nini hujui, ila kimbelembele kujadili bajeti ya Kenya. Punguza unafiki.
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Ukabila unaitafuna Afrika aisee!!!🤔Mbegu ya ukabila inawatafuna
Kweli mkuu, Tanzania hata hatujui maana Finance Bill ni Nini?. Na Jana tu wahuni wa CCM wameipitisha bungeni.Tanzania hata ukijadili ni kama kutafuta stress tu. Mi-ananchi imelala fofofo utadhani nyumbu wa Manyara.
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Mimi ni miongoni mkuu !🤣Sheria ya Bajeti. Yetu imepitishwa Jana na nadhani wengi hawajui Kama Jana tumepitisha finance bill ya Tanzania.
Fine, kwa hiyo madai yameongezeka na siyo finance bill tena! Sasa kama watadai Roto ajiuzulu, wewe hapo unasemaje?
haaaaaaaaa haaaaaaaaa!Mimi ni miongoni mkuu !🤣
Ili mabadiliko yaje inabidi maamuzi magumu yafanyike. Hata Urusi ya Leo ni baada ya Bolsheviks kujitoa mhanga . Vijana waliouawa hawatasahaulika kamwe na wananchi wa Kenya.Kubomoa huwa ni rahisi sana ila kujenga huwa ni kazi ngumu na wakisha anza kuuwana Kenya haitakuwa salama