Wanataka serikali ibane matumizi yasiyo ya lazima, kuanzia safari za nje, bajeti ya hela za (confidential), kawaida na ujinga na uozo wote.1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wako bar wanamaliza mishahara yao ya pasua kichwa wewe unawauliza mambo ya Gen Z..Hili swali umelielekeza kwa GenZ wa Kenya pekee au na sisi Wazee wa Ngwasuma wa Bongo tunaruhusiwa kutia Neno?
Na kumaliza hata muhula mmoja itakuwa ngumu sana kwake ameanza na mguu mbovu.Ruto ni mhalifu ambaye hakupaswa kuongoza nchi ya Kenya tena kwa katiba aliyoipinga.
Gen Z wetu wako bize kubeti mkeka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wako bar wanamaliza mishahara yao ya pasua kichwa wewe unawauliza mambo ya Gen Z..
Financial bill haijawa withdrawn bali Rais kagoma kuweka saini yake ili iwe sheria. Wenye mamlaka wa kuiondoa ni walewale waliyoipitisha. Ni lazima Bunge likae tena na kuijadili, ama iondolewe au wanaweza wasikubaliane na Rais. Ndo sababu vijana bado hawajafuta maandamano yao kwa vile wanajua hili ni suala la kisheria wala si tamko tu toka kwa Bwana Mkubwa.
You are right.Financial bill haijawa withdrawn bali Rais kagoma kuweka saini yake ili iwe sheria. Wenye mamlaka wa kuiondoa ni walewale waliyoipitisha. Ni lazima Bunge likae tena na kuijadili, ama iondolewe au wanaweza wasikubaliane na Rais. Ndo sababu vijana bado hawajafuta maandamano yao kwa vile wanajua hili ni suala la kisheria wala si tamko tu toka kwa Bwana Mkubwa.
Na kunywa Smart Gin na kuwaza mishangazi na kutwa kucha simba na Yanga.Gen Z wetu wako bize kubeti mkeka.
Je Bunge linaweza kumuita Rais na kueleza sababu za kugoma kutia saini muswada.Financial bill haijawa withdrawn bali Rais kagoma kuweka saini yake ili iwe sheria. Wenye mamlaka wa kuiondoa ni walewale waliyoipitisha. Ni lazima Bunge likae tena na kuijadili, ama iondolewe au wanaweza wasikubaliane na Rais. Ndo sababu vijana bado hawajafuta maandamano yao kwa vile wanajua hili ni suala la kisheria wala si tamko tu toka kwa Bwana Mkubwa.
Sio huku kwa akina Mwijaku na Baba Levo na Stev Nyerere.Hii ni development mpya kwa EAC, kuna cha kujifunza
You do realize ili hiyo bill iondoke moja kwa moja ni lazima bunge nao waifute? Else after 21 days it will pass without even president sign1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Hivi wewe una akili timamu Kweli?Ila twende mbele turudi nyuma, Ruto ni bonge la kiongozi.
Sijui kwa nini watu weusi kila akitokea kiongozi mzalendo anapingwa sana na watu wake mwenyewe!
Wewe ni nani kwenye siasa za Kenya???1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Wanavuta bangi wanadhani watu wote wana akili za kushinda mitandaoni na kuandika ujinga na wivu, wanaweza wakawa ni wengi lakini bado nchi hizi za afrika mashariki hazijafikia wakati wa kuongozwa na mihemko ya mitandaoni.1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community