Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono.
Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa, biashara, Kilimo, dini n.k pia wengi siku za hivi karibuni wameingia katika mambo ya mpira wa Simba na Yanga. Ukiangalia content kubwa ya mabinti wa ki-Tanzania katika mitandao ya kijamii na mitaani ni hayo mambo!