Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

Unaelewa kuwa kushindwa kuishinda evolutionary psychology nako ni kukisa akili?

Kwamba, leo watu wanafanya mpaka gene editing na CRISPR, kui direct evolution yenyewe, kushindwa kutatua matatizo ya evolutionary psychology ni ishara ya akili ndogo.
Basi hapa wote(wanaume kwa wanawake) tutakuwa na akili ndogo maana wanaume Africa nao tutakuwa tumeshindwa kuinua akili za wanawake wetu!
 
Jamii inakosa kutumia human capital ya wanawake, wanakuwa ni watu wa kutombwatombwa tu bila kuchangia zaidi kwenye jamii.
🤣 nchi yenyewe ajira hakuna kabisa, hali ni ngumu mno. Binti wa watu K anayo, mahipsi yapo yananenepeana tu, tako limefumuka mpaka nguo zinataka kuchanika, tako pro max limejaa kwenye kiti hakitoshei, msambwanda lainiii, anapost tako Instagram kijana Anakuja dm na 50k,laki mbili, au laki tano au sponsa ana mamilioni anataka ili ale mzigo unategemea binti afanyaje. 🤣
 
Hao wanaume sponsors wao wanazitoa wapi ajira na pesa?
Wanaume hasa vijana wasio na ajira na kipato wao wanaishije?
 
Basi hapa wote(wanaume kwa wanawake) tutakuwa na akili ndogo maana wanaume Africa nao tutakuwa tumeshindwa kuinua akili za wanawake wetu!

Wanaume wa Africa wengi hawataki kuinua akili za wanawake wao, ni kama wanashindana nao na wanataka wanawake wawe chini siku zote ili wanawake waendelee kuwa tegemezi.

Ndiyo maana Africa unaweza kukuta mwanamke ana elimu kubwa, kazi kubwa au biashara kubwa halafu hapendwi na wanaume, wanamuogooa na kumuona tishio.

Na wanawake wengi wa Africa wanajiweka chini kimkakati ili wahudumiwe na wanaume.

Yani unaweza kukuta mwanamke ana akili kubwa lakini anaificha na kujifanya hana akili kubwa ili asiwe tishio kwa mwanamme atunze mahusiano yake.
 
🤣 nchi yenyewe ajira hakuna kabisa, hali ni ngumu mno. Binti wa watu K anayo, mahipsi yapo yananenepeana tu, tako limefumuka mpaka nguo zinataka kuchanika, tako pro max limejaa kwenye kiti hakitoshei, msambwanda lainiii, anapost tako Instagram kijana Anakuja dm na 50k,laki mbili, au laki tano au sponsa ana mamilioni anataka ili ale mzigo unategemea binti afanyaje. 🤣
Ajira zipo ila watu hawatumii akili wanataka kuishi kwa kupanua miguu.
 
Wanaume wa Africa wengi hawataki kuinua akili za wanawake wao, ni kama wanashindana nao na wanataka wanawake wawe chini siku zote ili wanawake waendelee kuwa tegemezi.

Ndiyo maana Africa unaweza kukuta mwanamke ana elimu kubwa, kazi kubwa au biashara kubwa halafu hapendwi na wanaume, wanamuogooa na kumuona tishio.

Na wanawake wengi wa Africa wanajiweka chini kimkakati ili wahudumiwe na wanaume.

Yani unaweza kukuta mwanamke ana akili kubwa lakini anaificha na kujifanya hana akili kubwa ili asiwe tishio kwa mwanamme atunze mahusiano yake.
Labda ndio maana kuna hili suala kwamba huwa inasemwa wanawake wengi wakiingia kwenye siasa na kupata madaraka ya kisiasa mfano ubunge au uwaziri wengi ndoa zao lazima ziyumbe au zivunjike kabisa na kama hajaolewa ndio imetoka hiyo.
 
Hao wanaume sponsors wao wanazitoa wapi ajira na pesa?
Wanaume hasa vijana wasio na ajira na kipato wao wanaishije?
Sponsors wana vyanzo mbali mbali vya pesa, kuna pesa safi na pesa chafu, hao kuna Asilimia fulani ya hela yao inakwenda kula K

Vijana wasio na ajira hawana hela, ila wa hela ndogo ndogo za kuunga unga na hao kidogo wanachopata wanakipeleka kwenye kula K
 
People they are not busy

Ukiwa busy and very committed hauwezi kuwa hivyo unavyosema.
 
Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono.

Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa, biashara, Kilimo, dini n.k pia wengi siku za hivi karibuni wameingia katika mambo ya mpira wa Simba na Yanga. Ukiangalia content kubwa ya mabinti wa ki-Tanzania katika mitandao ya kijamii na mitaani ni hayo mambo!
Kww pale twita. Yale maokoto yameleta matatizo makubwa sana. Kuna mada za ajabu sana tukija stuka tutasema ni mpango wa wazungu
 
Back
Top Bottom