Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #41
Basi hapa wote(wanaume kwa wanawake) tutakuwa na akili ndogo maana wanaume Africa nao tutakuwa tumeshindwa kuinua akili za wanawake wetu!Unaelewa kuwa kushindwa kuishinda evolutionary psychology nako ni kukisa akili?
Kwamba, leo watu wanafanya mpaka gene editing na CRISPR, kui direct evolution yenyewe, kushindwa kutatua matatizo ya evolutionary psychology ni ishara ya akili ndogo.