Mkuu hata wanawake ambao hawana uhitaji kabisa wa ma-sponsor wako hivyo, lakini pia unakuta ma-sponsor wengi wanajishughulisha na siasa, biashara n.k lakini wanaoetegemea sponsorship hizo content ngumu ziko kushoto kabisa kweny mazungumzo yao! Au sponsors wenyewe hawapendi wa aina hiyo?
Wanawake wasio na uhitaji wa ma sponsor wako hivyo kwa sababu wanafuata sheria ya asili ya maji kufuata njia rahisi zaidi kutengeneza mkondo.
Ushaona maji yanapanda mlima yenyewe? Maji yanashuka mlima tu kwa kutumia nguvu za gravity. Hata kama maji yana energy yake yenyewe inayoweza kuyafanya yapande mlima.
Ma sponsor wanatumia hela kwa sababu hicho ndicho kitu rahisi kabisa kwao. Mtu ambaye kashahangaika kutafuta pesa kuanza kuimba mashairi nakutumia logic kwenye mapenzi inaweza kuwa kazi kubwa na ngumu kuliko kutumia pesa.
Kuna swali moja huwa ni gumu kulijadili kwa upana na urefu na uhalisia, kutokana na ukakasi wa siasa zake.
Na swali hili linaweza kukusaidia kupata jibu la kwa nimi ma sponsor wenye biashara wanashindwa kuongea biashara na wanawake wao wengi.
On balance (maana yake si mara zote), je, wanawake, hususan wa kwetu Africa/weusi, wana akili ndogo zaidi kwenye mambo ya sayansi, uchumi, biashara kuliko wanaume na ndiyo maana wanakuwa tegemezi hivi na hata wakikaa na ma sponsor wanashindwa kujifunza biashara?
Au hili si jambo la akili, ni jambo la utamaduni tu, wanawake wamewekwa chini kijamii mpaka wakazoea hali hiyo, na kuzoea hali hiyo wamekuwa tegemezi hivi?