Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo?
Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za hovyo kwani wamekuwa wakitongoza watu waliowazidi umri sawa na mama zao.
“Kwa mfano mimi hapa yani sasa hivi natongozwa na vijana zaidi kuliko hata nilivyokuwa binti…” ~ Mama Terry