Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

Wanakesha hapa kupost kataa ndoa .

Wakimaliza wanarudi mitaani kutongoza ma ajuza.
Ni kwel kabisa,ukiwa kataa ndoa lazima utake vikongwe ili kesi za mimba zisiwepo,hata mim nilkula sana mashangaz,sema kuna mjinga mmoja alikuja nikamata kijinga nikaoa
 
Sasa kama wenyewe mnapenda ni zambi kufanya mnacho kipenda?
 
Dalili za utapeli alianza toka zamani huyo mama.
Anaweza kuweka ushahidi adharani?
 
huyo mtangazaji wa kike mwenye black and white anaitwa nani jamani? natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom