Vijana wa kiume lazima muelewe kuwa kuna wanawake wanawazidi kwa mbali kiuwezo iwe wa akili, uchumi na maono

Nyie ndio mnatakiwa kuingizwa kwenye hizo movements za kutetea jinsia ya kike. Wawe na akili, uwezo, uchumi mkubwa, so what...end of the day ni wanawake na wanabaki kuwa wasaidizi wa wanaume. Mnatetea jinsia Ke hadi mnazidisha.
 
Number ni pamoja na kusema wengi.
Au umekariri hesabu?
Wengi ni maneno si numbers. Unapoenda ku deposit pesa benki kwenye form kuna mahali pa kujaza tarakimu na kwingine kwa maneno.

But then its seem huna actual numbers not even basic facts to support your topic
 
Kitakwimu Neno mengi ni sehemu ya hesabu inayowakilisha idadi inayozidi wastani.

Kwa hiyo wewe unajua hesabu za benki tuu
 
Pole sana hesabu za bank na hesabu ni sawa tofauti ni application. So once again huna numbers huna facts za ku support mada yako
 
Ndio maana nikakuambia umekariri.

Hesabu haziwezi kuwa sawa.

Kwa uelewa wako ukiambiwa utoe hesabu ya mchanga wa bahari au nyota utasema ziko ngapi?
 
Man enough na blah blah. Huwez kukariri hesabu lazima uelewe logic behind thats how unaelewa hesabu
umeshindwa ku offer valid facts with numbers why should i listen to you about hesabu? Come on man
 
Elimu ya kukariri inakufanya ushindwe kuelewa mambo madogo kama hayo.

Kama unajua hesabu ni namna pekee basi hiyo elimu hukuielewa
 
Man enough na blah blah. Huwez kukariri hesabu lazima uelewe logic behind thats how unaelewa hesabu
umeshindwa ku offer valid facts with numbers why should i listen to you about hesabu? Come on man

Tafuta mtu anayejua hesabu vizuri alafu uongee hilo shudu lako kuwa Hesabu ni number pekee alafu akupe darasa

Number ni moja ya component zilizoko kwenye hesabu.

Ni sawa na mtu aseme Lugha ni maneno akimaanisha muunganiko wa herufi.

Nenda ka- Google kuwa hesabu ni namba pekee alafu utaona mimi na wewe nani anapiga Blahblah!
 
For a woman, it could be a blessing or a curse depending on your surroundings.
 
Nyie ndio mnatakiwa kuingizwa kwenye hizo movements za kutetea jinsia ya kike. Wawe na akili, uwezo, uchumi mkubwa, so what...end of the day ni wanawake na wanabaki kuwa wasaidizi wa wanaume. Mnatetea jinsia Ke hadi mnazidisha.
Wakipondwa tu ni sawa??
 
Wakipondwa vipi binti?
Kupondwa ni kinyume cha kusifiwa, katika lugha isiyorasmi. Umemwambia mleta mada kuwa anasifia kupitiliza, ndio nikauliza ni sawa pale wanapopondwa? Ikiwa kusifiwa ni tatizo.
 
Wakipondwa vipi binti?

Anamaanisha nikiwachana ukweli(wakosolewa au kupondwa) kwako ni sawa.

Mimi naongea uhalisia wa mambo.

Wapo wanawake wamewazidi wanaume wengi kwa mambo nyeti. Kuanzia akili za darasani,maisha, kipato, kimamlaka, bahati n.k
 
Intelligence haichagui jinsia mkuu, yoyoyte anaweza kuwa vyovyote, sema nature inamfanya Me kuwa stronger physically, emotionally nkna hivyo kuwa mtawala.
 
Kupondwa ni kinyume cha kusifiwa, katika lugha isiyorasmi. Umemwambia mleta mada kuwa anasifia kupitiliza, ndio nikauliza ni sawa pale wanapopondwa? Ikiwa kusifiwa ni tatizo.
Huwa unafatilia mada za Chris Mauki? Nimeuliza swali nje ya hoja yako.
 
Back
Top Bottom