Vijana wa kiume lazima muelewe kuwa kuna wanawake wanawazidi kwa mbali kiuwezo iwe wa akili, uchumi na maono

A
very long and useless narration. Sijui ulikuwa unajaribu kutumia ujumbe gani, kwa faida ya nani, sababu umeandika vitu vya kawaida sana.
 
Now nimeelewa, which sio kitu kibaya si ndio?
It's easy to breakthrough kupitia Ke kuliko Me, tengeneza hoja za kumpa favor Ke na utaona jinsi utakavyokubalika haraka.

Ninachojua sijui nitakuwa sahihi au la, Me na Ke wote ni sawa, anaweza kupewa uwezo mkubwa yoyote (kiuchumi, kijamii, etc)haijalishi jinsia gani.
 
Kuna lijamaa la kiume linaulizwa kama bajeti hii imegusa hitaji la wananchi, likajibu hapana kwa sababu! Haijazungumzia ruzuku kwenye pedi, tulijenga madarasa tz nzima ila hatukuweka vyumba vya wasichana kujistiri, n.k. Tunalipwa kuweka agenda za kitoto kwenye suala la kitaifa. Mi naunganishiwa umeme kwa laki 7 kisa nguzo 2 dude linahitaji ruzuku kwenye pedi.
 
Sentence ya mwisho ndio aliyoandika mtibeli, na ni ukweli. Kuna wanawake ambao "wengi" tunapaswa kujifunza kwao.

unadhani anatafuta kuungwa mkono na KE? Ushawahi kuona mabandiko yake anavyotuponda humu? I guess he's not biased. Kwahiyo nilifikiri Mngemuunga mkono kama ambavyo huwa anaungwa mkono kwa "yale" mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…