Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
ni ngumu serikali kushughulikia hilo suala kikamilifu kwa kuwa machawa wote ni "chakula", na hao ni vibaraka waoKuna haja ya serikali kuja na mkakati maalumu ya kudili na hawa watu
Sahihi..ni ngumu serikali kushughulikia hilo suala kikamilifu kwa kuwa machawa wote ni "chakula", na hao ni vibaraka wao
Hao ni hulka zao tu, na kurukwa akili , wala sioni kama ni pesaUkifanya ulinganifu wa hao wenye pesa Vs wasio na pesa bdo wasio na pesa ni wengi shida ni nn ??
Ishu ingekuwa ni pesa tungeona wakiwa na maisha mazuri lkn hamna kitu
Naona wanavyo kazana kuhalalisha kuhusu matakwa yao binafsi na hela,,Hao ni hulka zao tu, na kurukwa akili , wala sioni kama ni pesa
Sijui kwanini naona wana matatizo ya akili na wala sio kingineš¤Naona wanavyo kazana kuhalalisha kuhusu matakwa yao binafsi na hela,,
Ingekuwa hivyo naamin wangekuwa washavuka level ya umasikini
Lakini ndiyo kwanza wenye ishu hizo hasa huku bongo ndo masikin wa kutupwa
Hao celeb wanaowatizama pesa wamezipatia kwenye kazi regarding kwamba wana yao mengine iwe kweli au sio
Amini bruh..... zaidi ni ishu za kisaikolojiaSijui kwanini naona wana matatizo ya akili na wala sio kingineš¤