GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua hasa Umuhimu wa Mama ila Kwangu Mimi GENTAMYCINE wote Kwangu wana Umuhimu sawa tena sometimes nikiona kwa mfano Mshua ana Ugwadu wa Uzeeni naweza hata Kumdakisha na kisha namsetia Mingo ya kiaina kwa Tunda lililo karibu ili alitafune ile nae akumbukie enzi zake.
Yaani Mama yako unampa Kiasi kingi halafu Mshua unampa kidogo huku Ukimdanganya. Siyo vizuri na tubadilike.
Yaani Mama yako unampa Kiasi kingi halafu Mshua unampa kidogo huku Ukimdanganya. Siyo vizuri na tubadilike.