GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jifunze kusamehe Wewe na acha kubeba Kinyongo kwa yaliyopita sawa? Baba yako angegogesha Besela ungezaliwa?Tatizo la washua wengi waliwaachia majukumu ya kulea,kulisha na kusomesha watoto kwa mama zao.
Washua wengi walifanya sperm donation na sio sio kuwa "baba halisi" kwa kubeba majukumu 100% wengi walikuwa na pesa zao na walijali sana mchepuko,wacha wavune matunda ya kazi zao za kindezi.
Amina Mkuu. Pole kwa Kuondokewa nae ila tuendelee kumuombea Makazi mema huko aliko wakati nasi tukisubiri zamu yetu.Uko sahihi kabisa binafsi alitangulia mbele za haki ila angekuwepo ningejitahidi kufanya hivyo
Only a Moron, Satan Agent and Uncouth Creature can Write this.nyinyi Ndio huwa mnasomesha watoto wenu kwa kutegemea badae waje kuwasaidia.ujana wako wote ulikua wapi hadi unasubiri wanao waje kukusadia
Kabisa sote njia ni MojaAmina Mkuu. Pole kwa Kuondokewa nae ila tuendelee kumuombea Makazi mema huko aliko wakati nasi tukisubiri zamu yetu.
Jamaa anaonekana hayupo sawa kwenye medula oblongata hapo kaandika upuuzi."nikiona kwa mfano Mshua ana Ugwadu wa Uzeeni naweza hata Kumdakisha na kisha namsetia Mingo ya kiaina kwa Tunda lililo karibu ili alitafune ile nae akumbukie enzi zake".
Aseee wee jamaa ππππππ
watoto sio mtaji popoma usije ukazaa kama mbwa ukategemea msadaa kwa wanao utalia na kusaga meno mzazi ndio inabidi ujenge future ya wanao sio wanao wakujengee future wewe usiwe lipumbavu kuwa kama wahindi wanajenga fondation ya watoto na wao toka wakiwa vijana kama ni Biashara wanafungua familiy Business ambayo itawanufaisha wanae wakikua na yeye akizekaOnly a Moron, Satan Agent and Uncouth Creature can Write this.
Daah jamaa anachekesha kweli πJamaa anaonekana hayupo sawa kwenye medula oblongata hapo kaandika upuuzi.
Kuzaliwa kwa kila kiumbe hai ni mpango wa Mungu.Jifunze kusamehe Wewe na acha kubeba Kinyongo kwa yaliyopita sawa? Baba yako angegogesha Besela ungezaliwa?
UsijariKuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua hasa Umuhimu wa Mama ila Kwangu Mimi GENTAMYCINE wote Kwangu wana Umuhimu sawa tena sometimes nikiona kwa mfano Mshua ana Ugwadu wa Uzeeni naweza hata Kumdakisha na kisha namsetia Mingo ya kiaina kwa Tunda lililo karibu ili alitafune ile nae akumbukie enzi zake.
Yaani Mama yako unampa Kiasi kingi halafu Mshua unampa kidogo huku Ukimdanganya. Siyo vizuri na tubadilike.
Kuliko aliyekuzaa?Jamaa anaonekana hayupo sawa kwenye medula oblongata hapo kaandika upuuzi.