Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,

Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na hoja yao ya kataa ndoa , ndoa ni utapeli🤣🤣 tulio Na watoto wa kike miaka 20 ijayo tuna kazi kweli kweli.
 
hahaha
Screenshot_20241020-143812~2.jpg
 
Ili swala serikali inalichukulia poa tu ila niamini mm kipindi kifupi kijacho vijana watapiga kura kwa asila kwa sababu ya ili jambo . Sio kwamba vijana hawataki kuoa ila vipato vyao havina kabisa guarantee kesho anaweza kupata kesho akakosa. Upande wa wadada hawana kabisa uvumirivu ukiwa nacho leo kesho ukakosa tayali anaji expose kwa wenye nacho wao wanataka mwanaume mwenye expose income nothing more. Sasa kwa Nchi kama hii ambayo majority ni jobless graduates wanasajili line za cm unataka waoe wamupe mke nn?
 
Achaneni na ajira za ndani ya ndoa.
Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,

Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na hoja yao ya kataa ndoa , ndoa ni utapeli🤣🤣 tulio Na watoto wa kike miaka 20 ijayo tuna kazi kweli kweli.
Somesheni watoto wenu
 
Ili swala serikali inalichukulia poa tu ila niamini mm kipindi kifupi kijacho vijana watapiga kura kwa asila kwa sababu ya ili jambo . Sio kwamba vijana hawataki kuoa ila vipato vyao havina kabisa guarantee kesho anaweza kupata kesho akakosa. Upande wa wadada hawana kabisa uvumirivu ukiwa nacho leo kesho ukakosa tayali anaji expose kwa wenye nacho wao wanataka mwanaume mwenye expose income nothing more. Sasa kwa Nchi kama hii ambayo majority ni jobless graduates wanasajili line za cm unataka waoe wamupe mke nn?
Hii naipigia lamination mkuu
 
Exactly. Wanawake wanachukulia ndoa ni Ajira. Vijana tumeshtuka, kama ni ajira wauze rejareja.
 
Natafuta Dada humu JF ambaye au ambao wanahitaji watoto, tuyajenge inbox! Inaitwa mutual understanding, tupate mtoto au watoto! Only if you are interested. Achaneni na vivulana vya afumbili
Wanawake wanataka ndoa Na harusi kubwa,
Nafanya mishe karibu na ukumbi mmoja, kuanzia ijumaa ni sherehe za harusi mpaka Jumapili, hapa nilipo nina vimeo vya kado za michango 3...kwahiyo watu wanaoa na kuoana..
Sio kweli mkuu, kwa wingi wa comments zile nilizoziona mambo ni magumu....natamani niweke screenshot ya comments hizo
 
Back
Top Bottom