To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Nimetulia sikuzote,ila asante kwa kujali☺️Tulia bhana, usiwe Na haraka hivyo utadondokea nyang'au likunyang'ue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetulia sikuzote,ila asante kwa kujali☺️Tulia bhana, usiwe Na haraka hivyo utadondokea nyang'au likunyang'ue
Nalea mwenyewe kuanzia mimba na kuendelea, why uzeeke bila mtoto??Unalea wewe au? Hii chance hii😋
Ninao mkuu, nilikuwa nauliza tuNalea mwenyewe kuanzia mimba na kuendelea, why uzeeke bila mtoto??
Hahahaha ilikua ni general comment Tu. Kwa yeyote Tu ambaye Yuko serious anicheki PMNinao mkuu, nilikuwa nauliza tu
Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,
Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na hoja yao ya kataa ndoa , ndoa ni utapeli🤣🤣 tulio Na watoto wa kike miaka 20 ijayo tuna kazi kweli kweli.
Sawa mkuuHahahaha ilikua ni general comment Tu. Kwa yeyote Tu ambaye Yuko serious anicheki PM
Rejareja inakuwajeExactly. Wanawake wanachukulia ndoa ni Ajira. Vijana tumeshtuka, kama ni ajira wauze rejareja.
Hakiksha Unatoa rejesho😀Ndoa ni mkopo wa OYA
Chaliifrancisco La Quica Deeboyfrexh GWAMAKA USWEGE Alexander The GreatMasingle maza wengi hawataki mabinti zao waolewe , kwa kuwafanya mitaji baada ya wao soko lao kuanza kudorora . Speaking from personal experience .
Ndoa kwa sasa hazina maana tena, huwezi kujenga kizazi kizuri na kuwaambia mabinti zako wajitunze usichana wao ilihali mam yao alikua danga ( hukumkuta bikra).Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,