Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,

Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na hoja yao ya kataa ndoa , ndoa ni utapeli🤣🤣 tulio Na watoto wa kike miaka 20 ijayo tuna kazi kweli kweli.
Hivi Ata ungekua ni wewe "ungeowa" badala ya "kuoa "
 
Back
Top Bottom