Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
HakikaVijana wengi Ni maskini wataoa familia Ile Nini?
Somesheni watoto wenuLeo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,
Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na hoja yao ya kataa ndoa , ndoa ni utapeli🤣🤣 tulio Na watoto wa kike miaka 20 ijayo tuna kazi kweli kweli.
Wanawake wanataka ndoa Na harusi kubwa,Natafuta Dada humu JF ambaye au ambao wanahitaji watoto, tuyajenge inbox! Inaitwa mutual understanding, tupate mtoto au watoto! Only if you are interested. Achaneni na vivulana vya afumbili
Hii naipigia lamination mkuuIli swala serikali inalichukulia poa tu ila niamini mm kipindi kifupi kijacho vijana watapiga kura kwa asila kwa sababu ya ili jambo . Sio kwamba vijana hawataki kuoa ila vipato vyao havina kabisa guarantee kesho anaweza kupata kesho akakosa. Upande wa wadada hawana kabisa uvumirivu ukiwa nacho leo kesho ukakosa tayali anaji expose kwa wenye nacho wao wanataka mwanaume mwenye expose income nothing more. Sasa kwa Nchi kama hii ambayo majority ni jobless graduates wanasajili line za cm unataka waoe wamupe mke nn?
Unalea wewe au? Hii chance hii😋Natafuta Dada humu JF ambaye au ambao wanahitaji watoto, tuyajenge inbox! Inaitwa mutual understanding, tupate mtoto au watoto! Only if you are interested. Achaneni na vivulana vya afumbili
Exactly. Wanawake wanachukulia ndoa ni Ajira. Vijana tumeshtuka, kama ni ajira wauze rejareja.Ili swala serikali inalichukulia poa tu ila niamini mm kipindi kifupi kijacho vijana watapiga kura kwa asila kwa sababu ya ili jambo . Sio kwamba vijana hawataki kuoa ila vipato vyao havina kabisa guarantee kesho anaweza kupata kesho akakosa. Upande wa wadada hawana kabisa uvumirivu ukiwa nacho leo kesho ukakosa tayali anaji expose kwa wenye nacho wao wanataka mwanaume mwenye expose income nothing more. Sasa kwa Nchi kama hii ambayo majority ni jobless graduates wanasajili line za cm unataka waoe wamupe mke nn?
Wanawake wanataka ndoa Na harusi kubwa,Natafuta Dada humu JF ambaye au ambao wanahitaji watoto, tuyajenge inbox! Inaitwa mutual understanding, tupate mtoto au watoto! Only if you are interested. Achaneni na vivulana vya afumbili
Sio kweli mkuu, kwa wingi wa comments zile nilizoziona mambo ni magumu....natamani niweke screenshot ya comments hizoNafanya mishe karibu na ukumbi mmoja, kuanzia ijumaa ni sherehe za harusi mpaka Jumapili, hapa nilipo nina vimeo vya kado za michango 3...kwahiyo watu wanaoa na kuoana..
Tulia bhana, usiwe Na haraka hivyo utadondokea nyang'au likunyang'ueUnalea wewe au? Hii chance hii😋