Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

Hofu ya kusalitiwa nayo ni kubwa, huna hela mkeo atajipendekeza kwa mwenye hela ili apigwe miti apate hela za mahitaji yake. Wale wanawake wenye ajira nao hawataki mwanaume asiye na kipato cha kueleweka. Muda unaenda, ukibahatisha penzi la bure bamiza kisha tembea mbele usiweke kambi, mtoto akitungwa shukuru ni bahati hiyo atalelewa ukweni
 

Dar kumbi za harusi zote zimejaa. kila jumamosi ni mwendo wa harusi tu.

hao waliogoma kuoa wapo sehemu gani ?

siku hizi ndege wafananao ndio wanaruka pamoja. Ukiona mwanamke anasema hakuna waoaji ? ujue huyo ni mwanamke mnyonyaji, anataka aolewe na mwanaume asiyefanana nae kwa chochote,
 
Maisha ni km mvua au upepo mda wowote unabadilika, yawezekana saiv wanakimbia kuoa / kuolewa ila badae watataka kuoa ni suala la muda tu yawezekana saiv mda sio sahihi kwa weng ila kwa badae mambo yatabadilika
 
Ndoa kwa sasa hazina maana tena, huwezi kujenga kizazi kizuri na kuwaambia mabinti zako wajitunze usichana wao ilihali mam yao alikua danga ( hukumkuta bikra).

Wanawake ni wezi sana na hawana adabu kutwa kushindana na mwanaume na wanataka usawa

Wazazi wao wana waibia wanaume zao kwa kigezo cha mahari na wakati wameshindwa lea mabinti zao.

Ndoa ni gereza kubwa kwa mwanaume.

Kijana ukioa jua umempa mwanamke ajira na wewe umejipiga kitanzi

Kijan usioe amani ya moyo inathamani kubwa kuliko kua na huyo mwanamke atakaye kupasua kichwa kama unataka mtoto zalisha mwanamke ambaye bado hajazalishwa alafu pita hivi tuma hela ya malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…