Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Pole sana, mana unaongea usuchokijua.
Hivi unajua vizuri siri ya utajiri wa wakinga, wachaga, wahindi n.k
Kama unafikiri utajiri wa kafara ndio maendeleo unasikitisha sana.
Kilema ni wewe mwenye chuki binafsi kwa wanyakyusa kama mchawi.
Hivi kijana una mawazo ya kichawi hivyo, je ukizeeka si utakuwa shetani kabisa......!!!!!
Pole sana
Ndugu Mitindo, hakuna sehemu niliyozungumzia kafara na wala siwezi kuamini kuwa kila mafanikio ya kibiashara lazima yatokane na shetani.. Hapana sijaongea juu ya kafara ila tabia na kuwaogopa Wanyamanyafu ila biashara hata kama inatokana na kafara ni lazima uwe na lugha nzuri ya biashara siyo mteja kaja wewe unamwambia "seeeeee!! Naongea na simu wewe ujui kama kuna kuna kilio"? nimefiwa, mweeee.
 
UNGASULWA NAPAPANANDI.............................................KILA MUNDU AKONGE ISYAKE..............
 
Mbeya ipi? Dah kuna watu wana mbwembwe kama wasomi waliofanikiwa kutoka MB? Unahitimisha kwa wanamuziki 2 labda kazi yao inawataka wawe hivyo, kwangu baada ya Nshomile wanafuata Ndagas kwa mbwembwe
 
Duuh hatari! Watu wamekasirika km nawaona vile! Lyf is so funny 😀. Hapa kila mtu anacomment kulingana na perceptions zake na nani alikutana naye km reference. But guys, no body is perfect. Each one of us has his/her own strengs and weaknesses. Hapa mjadala hautakwisha coz this is not a research. Every body is bringing in his/her own personal views hahaha.
 
Huna lolote, wewe ni mchawi tu.
Hivi karne hii unaongelea vitu vya ajabu ajabu sijui hata unatoa wapi.
Mbeya imejengwa na watu wa Mbeya kwa ujumla wao, Mbeya imepigwa vita miaka mingi na watawala wa serikali kwa chuki za kisiasa lakini bado Mbeya ina maendeleo binafsi.
Sasa mambo yako ya kutaja wakinga, mara wafipa, mara kyela huo ni uchawi.
Hakuna mtu wa Mbeya anayezungumzia ukabila pale Mbeya
Katika mikoa ambayo serikali inaipenda ni Mbeya na imejitaidi kuipenda na wao kuipenda,shida unachangia kishabiki ukiwa Dar au Mbeya town na si ajabu hata hiyo Tukuyu huijui, mimi nipo uku Masebe kwa sasa nafanya kilimo cha kiazi.
 
Andika hata na wino wa njano, ila ukweli utabaki pale pale kwamba wanyakyusa ni very strong and intelligent... over.
Utajiri wa kwanza ni elimu, halafu mengine yanafuata ndio wanachofanya wanyakyusa.
Taja na kabila lako ili tukusifie
Mimi Ni Mchaga (Mmmachame) Japo wasomi tunao sio wengi Kihivo ila Hela Tunazo Education without Money Ni Ujinga na wenye Hela Tunakudharau tu!
 
Katika mikoa ambayo serikali inaipenda ni Mbeya na imejitaidi kuipenda na wao kuipenda,shida unachangia kishabiki ukiwa Dar au Mbeya town na si ajabu hata hiyo Tukuyu huijui, mimi nipo uku Masebe kwa sasa nafanya kilimo cha kiazi.
Sio kweli kwamba serikali inaipenda.
Hivi unajua zengwe alilopigwa Proff Mwandosya kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa songwe kipindi kile akiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi, Basil Mramba akiwa waziri wa fedha?
Watu walianza fitna kwamba ule uwanja ujengwe kaskazini lakini kwa ubishi Proff Mwandosya akafanikisha kwa mbinde sana tena ule uwanja wa songwe ulitakiwa uwe wa kisasa zaidi ya pale.
Ni mambo mengi ya kimaendeleo mkoa wa Mbeya unapigwa zengwe kwa chuki za kisiasa, kikanda n.k
 
Ndugu Mitindo, hakuna sehemu niliyozungumzia kafara na wala siwezi kuamini kuwa kila mafanikio ya kibiashara lazima yatokane na shetani.. Hapana sijaongea juu ya kafara ila tabia na kuwaogopa Wanyamanyafu ila biashara hata kama inatokana na kafara ni lazima uwe na lugha nzuri ya biashara siyo mteja kaja wewe unamwambia "seeeeee!! Naongea na simu wewe ujui kama kuna kuna kilio"? nimefiwa, mweeee.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi ni vimaneno vya wadada wachache wa kinyakyusa
 
kila baada ya nyumba mbili baada ya pombe,ndo ustaarabu huo? Matumizi ya nondo ktk uporaji ndo ustaarabu huo? . Halafu mbona humsfu alimuokota
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi ni vimaneno vya wadada wachache wa kinyakyusa
Shida kubwa ipo kwa wadada na wanawake kwa ujumla japo kwa wanaume imebaki tabia ya kujisifu, yeye hata kama mwembamba anavyoongea anajiona bonge la mtu.
 
Mimi Ni Mchaga (Mmmachame) Japo wasomi tunao sio wengi Kihivo ila Hela Tunazo Education without Money Ni Ujinga na wenye Hela Tunakudharau tu!
Bora umejitambulisha kwamba wewe ni mchaga, sasa tunaweza tukaelewana.
Mkoa wa Mbeya watu wake sio matajiri na wala sio masikini.
Ila elimu wanayo ya kutosha ndio mana unaona kila sekta wapo.
Watu kutokuwa na ela ni tatizo la kitaifa sio jambo la mkoa wa Mbeya peke yake.
Kama wewe ni mchaga unapata ela kwa makafara, ujambazi, uchawi, utapeli n.k hilo ni tatizo lako.
Ila usijilinganishe na mnyakyusa asie tumia njia kama hizo.
 
Sio kweli kwamba serikali inaipenda.
Hivi unajua zengwe alilopigwa Proff Mwandosya kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa songwe kipindi kile akiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi, Basil Mramba akiwa waziri wa fedha?
Watu walianza fitna kwamba ule uwanja ujengwe kaskazini lakini kwa ubishi Proff Mwandosya akafanikisha kwa mbinde sana tena ule uwanja wa songwe ulitakiwa uwe wa kisasa zaidi ya pale.
Ni mambo mengi ya kimaendeleo mkoa wa Mbeya unapigwa zengwe kwa chuki za kisiasa, kikanda n.k
Prof. Mwandosya namkubali, nakumbuka mwaka 1998 alianzisha mpango wa kutoa msaada wa typewriter machine pamoja na computer katika ofisini za shule za secondary ila kumbu katika mkoa mzima mpinzani ni mmoja tu hii inaonyesha jinsi wananchi walivyopendwa na wao kuipenda zaidi rangi ya kijani.
 
Shida kubwa ipo kwa wadada na wanawake kwa ujumla japo kwa wanaume imebaki tabia ya kujisifu, yeye hata kama mwembamba anavyoongea anajiona bonge la mtu.
Ila nikushauri tu kwamba hakuna kabila lisilo na mapungufu duniani, na kama lipo litaje ili nikiri kwamba kweli wanyakyusa wana tatizo.
Hivyo kama unafanya kilimo chako cha viazi huko Tukuyu mbeya uwe na amani maana wanyakyusa hawana chuki, hila, wivu, majungu wala fitna kwa wageni wanaokuja kwenye jamii yao, sio kama watu wa kanda ile...... ..
 
Prof. Mwandosya namkubali, nakumbuka mwaka 1998 alianzisha mpango wa kutoa msaada wa typewriter machine pamoja na computer katika ofisini za shule za secondary ila kumbu katika mkoa mzima mpinzani ni mmoja tu hii inaonyesha jinsi wananchi walivyopendwa na wao kuipenda zaidi rangi ya kijani.
Proff Mwandosya amepambana sana kuhusu mkoa wa Mbeya lazima nimpe heshima yake.
Ukienda kule Rungwe Magharibi kwenye jimbo lake ni miaka mingi imepita tangu nilipoenda kule ila nilikuta umeme kwenye nyumba za ndani migombani, maji ya bomba ya uhakika, barabara zimechongwa vizuri hadi raha. kumbuka kule jimboni kwake ni kijijini sana.
Kuna mengine mengi kafanya Proff Mwandosya anastahili heshima sana
 
Ila nikushauri tu kwamba hakuna kabila lisilo na mapungufu duniani, na kama lipo litaje ili nikiri kwamba kweli wanyakyusa wana tatizo.
Hivyo kama unafanya kilimo chako cha viazi huko Tukuyu mbeya uwe na amani maana wanyakyusa hawana chuki, hila, wivu, majungu wala fitna kwa wageni wanaokuja kwenye jamii yao, sio kama watu wa kanda ile...... ..
Yes, upo sahihi wengine nyumba zinafunguliwa na kufanyiwa usafi tu na ardhi yote walishagawana na mgeni kupata ardhi au kukalibishwa ni ndoto ila kwa Mbeya watu mchanganyiko ila ujiandae tu kuitwa mjanga. Uku vijijini ukiomba ka upendo unaambiwa nenda nyumbani ukajitambulishe.
 
Ila nikushauri tu kwamba hakuna kabila lisilo na mapungufu duniani, na kama lipo litaje ili nikiri kwamba kweli wanyakyusa wana tatizo.
Hivyo kama unafanya kilimo chako cha viazi huko Tukuyu mbeya uwe na amani maana wanyakyusa hawana chuki, hila, wivu, majungu wala fitna kwa wageni wanaokuja kwenye jamii yao, sio kama watu wa kanda ile...... ..
Alafu naomba unifundishe kushusha kilio wakati nakaribia eneo la msiba,unaongozana na watu nyumba sita kabla ya eneo la tukio wenzio wanaanza kushusha kilio cha ajabu wakati mita chache tu mlikuwa mnacheka.
 
Back
Top Bottom