Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Ila katika mkoa wa Mbeya wapo Wanyakyusa wa aina 2,wapo wa Tukuyu ambapo kuna neema kubwa toka kwa Mungu na wengine Wanyakyusa wa Kyela hawa Wanyakyusa wa Tukuyu wengi wapo fresh ila shida inakuja kwa hawa wa Kyela wengi wao ni watu wa misifa na huwezi kuwatofautisha na ndugu zetu wa kutoka Kagera

Mitindo c kweli tumekuja kuwananga hawa watu kifupi ni wabaguzi sana tena mno lbd hujawahi ishi nao au unatetea lbd unatoka huko mkuu lkn ni shida kubwa hawa watu haswa wakyera na rudia tena ni shida kubwa
Naona sasa wote mnazungumzia wanyakyusa wa kyela, ila ni vizuri ikaeleweka kwamba dhumuni mleta uzi ni kuelezea ustaarabu na upole wa wanyakyusa ila ajasema wanyakyusa wa kyela.
Ila ata angesema wanyakyusa wa kyela hajakosea mana pia sio wanyakyusa wote wa kyela wana matatizo.
Hapa Tanzania kuna jamii za kizaramo, kichaga, kisukuma, kiruguru, kimasai, kihaya, kigogo, kikwere n.k kila jamii ina kasoro sasa sijaona kosa la mleta uzi hadi mnaanza kuwananga wanyakyusa wa kyela.
Au mnaweza kuniambia kosa la mleta mada hadi mnaanza kuwananga wanyakyusa wa kyela?
 
Hana kosa ila ni muhim tu pia kuwafaham kwa ujumla matendo yao lkn pia na uchawi ni kazi ya mikono yao.
 
Wewe ni kabila gani hadi unaongelea hivyo wanyakyusa?
Chuki binafsi hizo kijana sijui ukizeeka utakuaje,,,,,!!!!
Ndugu Mitindo, ukiona watu wanakukosoa ni vyema kushukuru na kujirekebisha kwa hizo dosari chache, kumbuka hapa tunaongelea juu ya tabia ya vijana wa Mbeya ambao wengi wao ni Wanyakyusa(kwa umaarufu) najua wapo wengineo kama Wasafwa na vitimbi vyao nk.
 
Nipo makini sana kwenye huu uzi ndugu vanga,
na pia ni mda wa wanyakyusa kujitathimini kama kuna ukweli wanaambiwa hapa.
Ila kama mtu anaongea kwa chuki binafsi lazima tuambiane ili kuondoa chuki za kikabila katika nchi yetu
 
Ndaga malafyale.
Inabidi tujitokeze kuelezea mambo wasiyoyafahamu kihistoria juu ya mbeya.
Mbeya kiimani imegawanyika sana kutokana na jinsi imani zilivyoingia sehemu hii.
Wamissionari waliingia Mbeya kupitia Afrika kusini na Malawi, na wakajenga makazi Rungwe na mwisho jiji la Mbeya, hiyo ilikuwa miaka ya 1890s.

Miaka hiyo hiyo Chifu Mkwawa alizuia misafara ya aina yoyite kupita jimboni kwake, hivyo hata Uislamu ulipenya kwa mbinde.
Pamoja na hayo, Chifu Merere wa Kisafwa naye alikuwa na nguvu sana hivyo kukatiza Usangu hadi Mbeya ilikuwa shida.

Hivyo basi kuanzia sehemu za Mbozi kuelekea Rukwa kulikuwa na makanisa machache sana hata leo, na misikiti almost hakuna kabisa.

Watu waliendelea na imani zao.
Kwa msingi huo haya matukio ya imani mbaya, ushirikina na kadhalika chimbuko lake ni hilo.

Lakini siyo kwamba ndani ya jamii ambazo zilipokea wamissionari hakuna ushirikina, la hasha.
Hata leo kwa kujichanganya watu wanaasi imani zao.

Kwa ujumla watu wa Mbeya ni washika dini sana, na ni waimbaji hodari na wenye huruma na wakarimu kwa wageni.

Ila usije mchokoza mtu wa Mbeya, awe kabila lolote, atakufa masikini ili alipize.
Na vile vile ni watu emotional sana na wana mori.
Huwa hawana ujanja ujanja, wako straightforward, wazungu wanasema "they call a spade a spade".
Kwa kweli usimchokoze mnyaki teh
 
Nipo makini sana kwenye huu uzi ndugu vanga,
na pia ni mda wa wanyakyusa kujitathimini kama kuna ukweli wanaambiwa hapa.
Ila kama mtu anaongea kwa chuki binafsi lazima tuambiane ili kuondoa chuki za kikabila katika nchi yetu
Asante kwa kujitambua, vidosari ni vichache haswa majungu yasiyokwisha, ubaguzi na kuwaita watu wajanga ila vizuri kwa kizazi cha sasa kikaungana na kuamua kuleta maendeleo vijijini badala ya kukaa na kusemana kwenye misiba kwa vitu visivyo na tija kwenye uchumi. Msiogope vitisho vya uchawi nendeni vijijini mkafanye maendeleo.
 
Naona umeanza kuzua mambo mengine ya uchawi.
Hivi Tanzania hii ni mkoa gani usiokuwa na uchawi ndugu hakika utakufa?
Mm sjajua nini wasema mkuu lkn ukweli upo, mm c wa huko lkn ktk mambo mengi sana nimeishi nao ndg!his watu ni hatari sana haswa yao wakyela ni hatari wako tayari kuharibu maisha yako ili wao tu manufaa yao yasonge hawana huruma hawa kingine ni warafi sana.
 
Asante kwa kujitambua, vidosari ni vichache haswa majungu yasiyokwisha, ubaguzi na kuwaita watu wajanga ila vizuri kwa kizazi cha sasa kikaungana na kuamua kuleta maendeleo vijijini badala ya kukaa na kusemana kwenye misiba kwa vitu visivyo na tija kwenye uchumi. Msiogope vitisho vya uchawi nendeni vijijini mkafanye maendeleo.
Kwa uandishi wako unaonesha unawafahamu vizuri wanyakyusa, je wewe ni kabila gani?
 
Upo sahihi kabisa na wana vimajungu visivyoisha na ufahari kwenye misiba.
Mkuu umeongea ukweli, kwao anaejaza watu msiban ndo anajiona ni ufahari, unafiki kweli kila jambo, mda mwingine yanaweza kuonesha yana uchungu kumbe ni uzandiki tu
 
Mm sjajua nini wasema mkuu lkn ukweli upo, mm c wa huko lkn ktk mambo mengi sana nimeishi nao ndg!his watu ni hatari sana haswa yao wakyela ni hatari wako tayari kuharibu maisha yako ili wao tu manufaa yao yasonge hawana huruma hawa kingine ni warafi sana.
Watu wakiwa na chakula kingi mnawaita walafi!
 
Mm sjajua nini wasema mkuu lkn ukweli upo, mm c wa huko lkn ktk mambo mengi sana nimeishi nao ndg!his watu ni hatari sana haswa yao wakyela ni hatari wako tayari kuharibu maisha yako ili wao tu manufaa yao yasonge hawana huruma hawa kingine ni warafi sana.
Inawezekana unachosema kikawa kweli kuhusu imani za kishirikina kuhusu wanyakyusa wa wilayani kyela, na hiyo nadhani inatokana na kuwa karibu mpakani na watu wa nchi ya malawi.
Mana nasikia shughuli nyingi za kiganga na kichawi za wilaya ya kyela chanzo ni nchini malawi.
Ila pia hiyo sio sababu hadi wewe unakuja kuwananga hapa.
Je ushausikia uchawi wa Tanga, Dar, Sumbawanga, Bagamoyo, Kanda ya Ziwa, Arusha, Kilimanjaro, Morogoro n.k ukishajua utakuja kuniambia kwamba kumbe wanyakyusa wa kyela hawana uchawi wowote.
 
Kwa uandishi wako unaonesha unawafahamu vizuri wanyakyusa, je wewe ni kabila gani?
Mjanga, Mbeya ikiamua inaweza kuipiku Kilimanjaro, Geographia nzuri haswa Tukuyu,Mwakaleli etc, lkn kumejaa vijijini na vijumba visivyo na mpangilio wa miji, watu wanaogopa kuwekeza kutokana na kuogopa vitisho vya ushirikina na majungu yasiyokwisha.
 
WEWE WASEMA
Acha chuki mkuu. Wanyaki zamani kijana akienda kula bila kwenda na rafiki yake alikuwa anaweza kuchezea stiki toka kwa mzee wake. Hayo mambo ya ulafi na uchoyo ni mwiko kabisa. Pia uchawi ni mwiko.
 
Mm ni mtu wa Kanda ya ziwa mkuu,hao unaosema tanga kuandika makaratasi ,wazaramo sumbawanga na wengine uwasemao ni ziro kwa kyela hata kilimo tu uchawi mkuu fanya uchunguzi watoto wengi zezeta wamefichwa kwa faida wanazozijua wao mkuu usitufanye tuseme mengi hutotamani kwenda wanakimbizana na mtwala lkn kyela ni noma mkuu
 
Wengi wana nidhamu ya uwoga kutokana na mazingira yao , hao mjini utawajua tu walivyo wanaongozwa kwa hofu sana, ila wakikutana wenyewe wanajiona wajanja kweli
Mzee Hii ni Very Fact Hawa wana Inferiority Kubwa Saana! Halafu wanapenda kujibana wenyewe kama Mishikaki...Wabinafsi na ni waoga kweli ni watu ambao hawawezi kuleta Changes!
 
Mkuu umeongea ukweli, kwao anaejaza watu msiban ndo anajiona ni ufahari, unafiki kweli kila jambo, mda mwingine yanaweza kuonesha yana uchungu kumbe ni uzandiki tu
Tatizo unaandika kwa chuki binafsi, hata kama wanatabia kama hiyo ila sio wanyakyusa wote.
Ila nikukumbushe tu kuwa kila jamii ina aina yake ya maisha na kama aina ya maisha ya wanyakyusa haikudhuru nakushauri acha chuki zako binafsi kwa wanyakyusa, kwani hazitakusaidia hizo chuki zako
 
Back
Top Bottom