Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe, watu wa mbeya hawana tabia za ajabu.Kweli kabisa, ila umesahau sifa moja, na WANAFIKI.
Kwenye kabila la kwenu wa hivi hawapo? Tunaongelea majority ww unaongelea mtu mmoja.Waongo sana tena wanyanyasaji ni watu wa kujiskia sana kuna mmoja huyo kaoa bara ni darali anamnyanyasa mkewe sana,hamnunulii chochote hata nguo za ndani zaidi ya kula tu amepga marufuku ndg wa mke wake kuja pale lkn mke skimuomba pesa ili atume kwa ndg zake jamaa hatia hata cent,inabidi mwanamke afanye kazi za baa ili ajisaidie lkn pia asaifie ndgze wakat bwana hakosi kwenye acount 15ml as hayo ni mambo gani na kila anunuacho hamshilikishi mwenzie kakata bima as matibabu 3 lkn kambagua mke wake watu hawa ni shida sana haswa wakyela mbeya kwao na mwakyembe ni watu wa kujiskia .
Halafu jina lako tu linaonesha ni wa mikoa ya kaskazini Tanzania.Kweli kabisa, ila umesahau sifa moja, na WANAFIKI.
Kamaanisha nini hapo, maana kila mtu ka mquote kwa kucheka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndaga malafyale.Hapana mkuu hiyo sifa ya uchawi na ukatili imebaki mkoa mpya wa Songwe hao ndio walikuwa wanaharibu sifa za mbeya,kwa kawaida wanyakyusa hawana tabia za ukatili sijui kuchuna ngozi hao ni wanyiha wa Mbozi ambayo kwasasa ni makao makuu ya mkoa mpya wa songwe.
Mwe banyafyale mulipoooo, abhankisu kinunu,bhasitalimo, bhifyusi, abhamahala , twe bhyimbi, Kyala atufigwegeeeeee
Mwe
Chuki binafsi hazikujengi kijana,Waongo sana tena wanyanyasaji ni watu wa kujiskia sana kuna mmoja huyo kaoa bara ni darali anamnyanyasa mkewe sana,hamnunulii chochote hata nguo za ndani zaidi ya kula tu amepga marufuku ndg wa mke wake kuja pale lkn mke skimuomba pesa ili atume kwa ndg zake jamaa hatia hata cent,inabidi mwanamke afanye kazi za baa ili ajisaidie lkn pia asaifie ndgze wakat bwana hakosi kwenye acount 15ml as hayo ni mambo gani na kila anunuacho hamshilikishi mwenzie kakata bima as matibabu 3 lkn kambagua mke wake watu hawa ni shida sana haswa wakyela mbeya kwao na mwakyembe ni watu wa kujiskia .
Sio kweli,Ni miongo, minyanyasaji, ilivyojaa Wivu, Majungu, ushamba, fitina na kutojitambua.
Acha uoga, walikubagua kwenye kitu gani hasa?WATU WA MBEYA HASWA KABILA LA WANYAKYUSAA,
NI WABAGUZI HATARI SANA KAMA WEWE SIO MNYAKYUSAA UTABAGULIWA
Ha ha ha ha ha ha haNdio hawa kina Mwa......Mwa.....
Kw
Kwenye kabila la kwenu wa hivi hawapo? Tunaongelea majority ww unaongelea mtu mmoja.
mm nimeishi na hawa watu karibu miaka 12 hv kwann niwe mbaguzi kwao nawajua vyema sana haswa hawa wakyera ndivyo walivyo mkuuChuki binafsi hazikujengi kijana,
Wanyakyusa hawana tabia za kibaguzi namna hiyo hasa kwa familia, na wakifanya hivyo ujue alishaona alama za hatari kwa mke wake, mana wanyakyusa ni watu strong and intelligent
Wala sina chuki nao nimekaa nao miaka 12 sjasema wote ila wakyera ni aslimia kubwa ndivyo walivyo unaweza sana usemavyo lkn ukweli mkuu ni huo ndivyo walivyo lkn pia ni watu wa kujipendekeza sana,kwani mwando ni wawapi mbona ni mwema sana?Chuki binafsi hazikujengi kijana,
Wanyakyusa hawana tabia za kibaguzi namna hiyo hasa kwa familia, na wakifanya hivyo ujue alishaona alama za hatari kwa mke wake, mana wanyakyusa ni watu strong and intelligent
Kwenye kabila lolote lazima kutakuwa na mtu mwenye mambo ya ajabu hata kama hilo kabila limestaarabika namna gani, sasa tabia ya mtu mmoja sio sababu yakuja kuwananga wanyakyusa hapa JFCajojo huyo ni mfano tu lkn asilimia kubwa hawa wanaotoka kyera fuatilia mkuu ndiyo tabia haswa yao hata yule sana habari fuatilia mkuu na kwengine wako lkn nazungumzia kwa ujumla kutoka kyera lbd hao c wa mbeya mbona kuna yule aliyeamua kutulia kwa sasa kuachaana na siasa ni mtu mzuri wala hakuwa na hayo,mkuu nimekaa nao sana hao watu lnd kama unataka kutetea kwa kuwa unatoka huko na umeguswa lkn ndivyo walivyo lkn pia nisamehe bule.
mm nimeishi na hawa watu karibu miaka 12 hv kwann niwe mbaguzi kwao nawajua vyema sana haswa hawa wakyera ndivyo walivyo mkuu
Upo sahihi kabisa na wana vimajungu visivyoisha na ufahari kwenye misiba.WATU WA MBEYA HASWA KABILA LA WANYAKYUSAA,
NI WABAGUZI HATARI SANA KAMA WEWE SIO MNYAKYUSAA UTABAGULIWA
Wewe ni kabila gani hadi unaongelea hivyo wanyakyusa?Upo sahihi kabisa na wana vimajungu visivyoisha na ufahari kwenye misiba.
Mitindo c kweli tumekuja kuwananga hawa watu kifupi ni wabaguzi sana tena mno lbd hujawahi ishi nao au unatetea lbd unatoka huko mkuu lkn ni shida kubwa hawa watu haswa wakyera na rudia tena ni shida kubwaKwenye kabila lolote lazima kutakuwa na mtu mwenye mambo ya ajabu hata kama hilo kabila limestaarabika namna gani, sasa tabia ya mtu mmoja sio sababu yakuja kuwananga wanyakyusa hapa JF