Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazani kwann ilikuwa hivyo.Acha chuki mkuu. Wanyaki zamani kijana akienda kula bila kwenda na rafiki yake alikuwa anaweza kuchezea stiki toka kwa mzee wake. Hayo mambo ya ulafi na uchoyo ni mwiko kabisa. Pia uchawi ni mwiko.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Na wengi ni madomo tofali usipime,
Sio kweli,Mzee Hii ni Very Fact Hawa wana Inferiority Kubwa Saana! Halafu wanapenda kujibana wenyewe kama Mishikaki...Wabinafsi na ni waoga kweli ni watu ambao hawawezi kuleta Changes!
Tutajie na kabila lako ili tukuletee mrejesho kamili kuhusu dada na shangazi zako piaAlafu siku nyingine tunaomba mtufanyie na sensa ili tujue life span ya ndoa za kina aunt na dada zenu.
Mafisi ya Kaskazini utayajua tu....!!!!Mwanadamu bwana, haya they are real brother!
Halafu utaje Makabila matatu yenye Hela Tanzania Nzima, Wanyakyusa wengi wanategemea Elimu na Pamoja na kuwa na Elimu wengi Ni MASKINI!Sio kweli,
Ni vizuri mnavyotoa hizo tuhuma muwe mnataja na makabila yenu ili tuwalinganishe na wanyakyusa.
Maana mnajificha nyuma ya keyboard na kuandika kwa wino mwekundu kabisa bila aibu.
Hivi hapa Tanzania unaweza ukanitajia makabila matatu yenye elimu kubwa zaidi?
[emoji23] [emoji23] hapa tunazungumzia vijana wa Mbeya na tabia zao na tunarekebishana, katika tembea yangu mikoa mingine nimeona mabaya mengi zaidi ambayo hata kama mada ikianzishwa ya makabila hayo unaweza kukuta kila unapochangia baada ya sentensi unavunja sheria za nchi.Tutajie na kabila lako ili tukuletee mrejesho kamili kuhusu dada na shangazi zako pia
Nimetembea karibia Tanzania yote hauwezi kunidanganya chochote kuhusu jamii za kitanzania kuanzia mila, ubora wa makazi, tabia n.kMjanga, Mbeya ikiamua inaweza kuipiku Kilimanjaro, Geographia nzuri haswa Tukuyu,Mwakaleli etc, lkn kumejaa vijijini na vijumba visivyo na mpangilio wa miji, watu wanaogopa kuwekeza kutokana na kuogopa vitisho vya ushirikina na majungu yasiyokwisha.
Huna lolote bali chuki tu.[emoji23] [emoji23] hapa tunazungumzia vijana wa Mbeya na tabia zao na tunarekebishana, katika tembea yangu mikoa mingine nimeona mabaya mengi zaidi ambayo hata kama mada ikianzishwa ya makabila hayo unaweza kukuta kila unapochangia baada ya sentensi unavunja sheria za nchi.
Wenzetu wa Kilimanjaro haswa uchagani hakuna kijiji, sasa wewe unaendeleza kilema chako cha ubishi na ujivuni wakati ukweli unaujua, unapozungumzia Mbeya mimi napenda kuiondoa MBEYA MJINI ambayo kwa kiasi kikubwa imejengwa na kuendelezwa na Wakinga kwa 60% ambao wengi ndiyo wafanyabiashara wakubwa uku sehemu kubwa ya Wanyakyusa wao wakila kwa karamu maofisini.Nimetembea karibia Tanzania yote hauwezi kunidanganya chochote kuhusu jamii za kitanzania kuanzia mila, ubora wa makazi, tabia n.k
Wewe ni chuki binafsi zinazokusumbua na kujifanya unawajua sana wanyakyusa kumbe huna lolote bali chuki tu.
Eti Mbeya ikiamua inaweza kuipiku kilimanjaro....!!!!!
Kwa mawazo yako mafupi unafikiri kilimanjaro imeizidi Mbeya kitu gani?
Andika hata na wino wa njano, ila ukweli utabaki pale pale kwamba wanyakyusa ni very strong and intelligent... over.Halafu utaje Makabila matatu yenye Hela Tanzania Nzima, Wanyakyusa wengi wanategemea Elimu na Pamoja na kuwa na Elimu wengi Ni MASKINI!
Pole sana, mana unaongea usuchokijua.Wenzetu wa Kilimanjaro haswa uchagani hakuna kijiji, sasa wewe unaendeleza kilema chako cha ubishi na ujivuni wakati ukweli unaujua, unapozungumzia Mbeya mimi napenda kuiondoa MBEYA MJINI ambayo kwa kiasi kikubwa imejengwa na kuendelezwa na Wakinga kwa 60% ambao wengi ndiyo wafanyabiashara wakubwa uku sehemu kubwa ya Wanyakyusa wao wakila kwa karamu maofisini.
Kwa Mbeya mjini ipo vizuri na inakua kwa kasi mno lkn tuanze na walioibeba Mbeya(Wanyakyusa) na maeneo yao kimaendeleo na tuanzie na pale Ndaga eneo lote la bonde la Mwakaleli, Ileje hadi border na Malawi na ikiwezekana hadi na visiwa vya Lake Nyasa kule kwa Wakisi hapa utakuja kuona Mbeya imedumaa kwa kuwaogopa Wanyamanyafu.Huna lolote bali chuki tu.
unaporekebisha kitu chochote lazima uwe na reference ya kitu bora kuliko hicho ambacho unarekebisha.
Sasa niambie wewe ni kabila gani ili watu wa mbeya wakifunze toka kwako?
Huna lolote, wewe ni mchawi tu.Kwa Mbeya mjini ipo vizuri na inakua kwa kasi mno lkn tuanze na walioibeba Mbeya(Wanyakyusa) na maeneo yao kimaendeleo na tuanzie na pale Ndaga eneo lote la bonde la Mwakaleli, Ileje hadi border na Malawi na ikiwezekana hadi na visiwa vya Lake Nyasa kule kwa Wakisi hapa utakuja kuona Mbeya imedumaa kwa kuwaogopa Wanyamanyafu.