[emoji1] [emoji1] [emoji1]Alafu naomba unifundishe kushusha kilio wakati nakaribia eneo la msiba,unaongozana na watu nyumba sita kabla ya eneo la tukio wenzio wanaanza kushusha kilio cha ajabu wakati mita chache tu mlikuwa mnacheka.
Mnyakyusa ki asili ni mtu muungwana sana, mpole na mstaarabu kama alivyosema mleta mada na pia apendi dharau.Yes, upo sahihi wengine nyumba zinafunguliwa na kufanyiwa usafi tu na ardhi yote walishagawana na mgeni kupata ardhi au kukalibishwa ni ndoto ila kwa Mbeya watu mchanganyiko ila ujiandae tu kuitwa mjanga. Uku vijijini ukiomba ka upendo unaambiwa nenda nyumbani ukajitambulishe.
Hizo ni itikadi za machalii wa RMaisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Halafu bora uko kwa wanyakyusa ukiomba ka upendo unaambiwa kajitambulishe kwanza,Yes, upo sahihi wengine nyumba zinafunguliwa na kufanyiwa usafi tu na ardhi yote walishagawana na mgeni kupata ardhi au kukalibishwa ni ndoto ila kwa Mbeya watu mchanganyiko ila ujiandae tu kuitwa mjanga. Uku vijijini ukiomba ka upendo unaambiwa nenda nyumbani ukajitambulishe.
Vijana wa mbeya hivi karibuni wameanza kuwaiga machalii wa R, wanawachukulia kama marole modelsHizo ni itikadi za machalii wa R
Ya kweli hayo ndugu?Vijana wa mbeya hivi karibuni wameanza kuwaiga machalii wa R, wanawachukulia kama marole models
Uny'wongele malundiMzee Hii ni Very Fact Hawa wana Inferiority Kubwa Saana! Halafu wanapenda kujibana wenyewe kama Mishikaki...Wabinafsi na ni waoga kweli ni watu ambao hawawezi kuleta Changes!
Kwa kugu uju[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wenzetu wa Kilimanjaro haswa uchagani hakuna kijiji, sasa wewe unaendeleza kilema chako cha ubishi na ujivuni wakati ukweli unaujua, unapozungumzia Mbeya mimi napenda kuiondoa MBEYA MJINI ambayo kwa kiasi kikubwa imejengwa na kuendelezwa na Wakinga kwa 60% ambao wengi ndiyo wafanyabiashara wakubwa uku sehemu kubwa ya Wanyakyusa wao wakila kwa karamu maofisini.
Utakufa Maskini wewe sisi Tunasema LACK OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS wakati nyie sijui mnajiita wenye elimu mnafikiri kwamba LOVE OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS!Bora umejitambulisha kwamba wewe ni mchaga, sasa tunaweza tukaelewana.
Mkoa wa Mbeya watu wake sio matajiri na wala sio masikini.
Ila elimu wanayo ya kutosha ndio mana unaona kila sekta wapo.
Watu kutokuwa na ela ni tatizo la kitaifa sio jambo la mkoa wa Mbeya peke yake.
Kama wewe ni mchaga unapata ela kwa makafara, ujambazi, uchawi, utapeli n.k hilo ni tatizo lako.
Ila usijilinganishe na mnyakyusa asie tumia njia kama hizo.
Umesimuliwa weweKwa Mbeya mjini ipo vizuri na inakua kwa kasi mno lkn tuanze na walioibeba Mbeya(Wanyakyusa) na maeneo yao kimaendeleo na tuanzie na pale Ndaga eneo lote la bonde la Mwakaleli, Ileje hadi border na Malawi na ikiwezekana hadi na visiwa vya Lake Nyasa kule kwa Wakisi hapa utakuja kuona Mbeya imedumaa kwa kuwaogopa Wanyamanyafu.
Mna naloli nkamuUNGASULWA NAPAPANANDI.............................................KILA MUNDU AKONGE ISYAKE..............
Acha mambo ya ajabu, una uhakika hao wanatoa kafara au juhudi zao binafsi ndo maana wanawatawala kwenye mbeya yenu, mnashindia majungu mpaka wanaume, full kujisifia wenzenu mbeya yote maduka yao wanachuma wanapeleka kwaoPole sana, mana unaongea usuchokijua.
Hivi unajua vizuri siri ya utajiri wa wakinga, wachaga, wahindi n.k
Kama unafikiri utajiri wa kafara ndio maendeleo unasikitisha sana.
Kilema ni wewe mwenye chuki binafsi kwa wanyakyusa kama mchawi.
Hivi kijana una mawazo ya kichawi hivyo, je ukizeeka si utakuwa shetani kabisa......!!!!!
Pole sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungalwaga lelo mweeee mbelile fijo 😀😀
Full kuvaa suti za marangi rangi, mdomoni majungu mengi wanyakyusa nenda kwake au mfukoni hayana kitu kbsaaaMbeya ipi? Dah kuna watu wana mbwembwe kama wasomi waliofanikiwa kutoka MB? Unahitimisha kwa wanamuziki 2 labda kazi yao inawataka wawe hivyo, kwangu baada ya Nshomile wanafuata Ndagas kwa mbwembwe
Umevimbiwa viporo unaanza kutapika bila aibu.Utakufa Maskini wewe sisi Tunasema LACK OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS wakati nyie sijui mnajiita wenye elimu mnafikiri kwamba LOVE OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS!
Halafu kwanza una Elimu gani Kijana!
Ongea kwa point,Acha mambo ya ajabu, una uhakika hao wanatoa kafara au juhudi zao binafsi ndo maana wanawatawala kwenye mbeya yenu, mnashindia majungu mpaka wanaume, full kujisifia wenzenu mbeya yote maduka yao wanachuma wanapeleka kwao
Mpumbavu sema elimu yako, Nina uhakika mimi Hujanizidi!Umevimbiwa viporo unaanza kutapika bila aibu.
Siwezi kubishana na chizi kama wewe