Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Alafu naomba unifundishe kushusha kilio wakati nakaribia eneo la msiba,unaongozana na watu nyumba sita kabla ya eneo la tukio wenzio wanaanza kushusha kilio cha ajabu wakati mita chache tu mlikuwa mnacheka.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mimi sio mnyakyusa ila nawapenda sana wanyakyusa, sababu kuna vitu naingiliano nao.
Jambo la kulia hizo ni tabia za kijadi kama mila za watu mikoa mingine kama kaskazini kupeleka vitovu vya watoto wao makwao kuvizika kwenye migomba baada ya watoto kuzaliwa
 
Yes, upo sahihi wengine nyumba zinafunguliwa na kufanyiwa usafi tu na ardhi yote walishagawana na mgeni kupata ardhi au kukalibishwa ni ndoto ila kwa Mbeya watu mchanganyiko ila ujiandae tu kuitwa mjanga. Uku vijijini ukiomba ka upendo unaambiwa nenda nyumbani ukajitambulishe.
Mnyakyusa ki asili ni mtu muungwana sana, mpole na mstaarabu kama alivyosema mleta mada na pia apendi dharau.
Shida inakuja jinsi anavyoonekana mpole, mtulivu, mstaarabu watu wanataka wampande kichwani hapo ndio matatizo yanapoanzia na kuanza kuonekana mnyakyusa jeuri, anadharau n.k
 
Yes, upo sahihi wengine nyumba zinafunguliwa na kufanyiwa usafi tu na ardhi yote walishagawana na mgeni kupata ardhi au kukalibishwa ni ndoto ila kwa Mbeya watu mchanganyiko ila ujiandae tu kuitwa mjanga. Uku vijijini ukiomba ka upendo unaambiwa nenda nyumbani ukajitambulishe.
Halafu bora uko kwa wanyakyusa ukiomba ka upendo unaambiwa kajitambulishe kwanza,
Mana kuna maeneo kama manyara, karatu n.k huko kama wewe ni mgeni unaweza ukateleza na wa wadada kijiji kizima bila kuulizwa kitu.
 
Wenzetu wa Kilimanjaro haswa uchagani hakuna kijiji, sasa wewe unaendeleza kilema chako cha ubishi na ujivuni wakati ukweli unaujua, unapozungumzia Mbeya mimi napenda kuiondoa MBEYA MJINI ambayo kwa kiasi kikubwa imejengwa na kuendelezwa na Wakinga kwa 60% ambao wengi ndiyo wafanyabiashara wakubwa uku sehemu kubwa ya Wanyakyusa wao wakila kwa karamu maofisini.
Kwa kugu uju[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Bora umejitambulisha kwamba wewe ni mchaga, sasa tunaweza tukaelewana.
Mkoa wa Mbeya watu wake sio matajiri na wala sio masikini.
Ila elimu wanayo ya kutosha ndio mana unaona kila sekta wapo.
Watu kutokuwa na ela ni tatizo la kitaifa sio jambo la mkoa wa Mbeya peke yake.
Kama wewe ni mchaga unapata ela kwa makafara, ujambazi, uchawi, utapeli n.k hilo ni tatizo lako.
Ila usijilinganishe na mnyakyusa asie tumia njia kama hizo.
Utakufa Maskini wewe sisi Tunasema LACK OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS wakati nyie sijui mnajiita wenye elimu mnafikiri kwamba LOVE OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS!

Halafu kwanza una Elimu gani Kijana!
 
Kwa Mbeya mjini ipo vizuri na inakua kwa kasi mno lkn tuanze na walioibeba Mbeya(Wanyakyusa) na maeneo yao kimaendeleo na tuanzie na pale Ndaga eneo lote la bonde la Mwakaleli, Ileje hadi border na Malawi na ikiwezekana hadi na visiwa vya Lake Nyasa kule kwa Wakisi hapa utakuja kuona Mbeya imedumaa kwa kuwaogopa Wanyamanyafu.
Umesimuliwa wewe
 
Pole sana, mana unaongea usuchokijua.
Hivi unajua vizuri siri ya utajiri wa wakinga, wachaga, wahindi n.k
Kama unafikiri utajiri wa kafara ndio maendeleo unasikitisha sana.
Kilema ni wewe mwenye chuki binafsi kwa wanyakyusa kama mchawi.
Hivi kijana una mawazo ya kichawi hivyo, je ukizeeka si utakuwa shetani kabisa......!!!!!
Pole sana
Acha mambo ya ajabu, una uhakika hao wanatoa kafara au juhudi zao binafsi ndo maana wanawatawala kwenye mbeya yenu, mnashindia majungu mpaka wanaume, full kujisifia wenzenu mbeya yote maduka yao wanachuma wanapeleka kwao
 
Mbeya ipi? Dah kuna watu wana mbwembwe kama wasomi waliofanikiwa kutoka MB? Unahitimisha kwa wanamuziki 2 labda kazi yao inawataka wawe hivyo, kwangu baada ya Nshomile wanafuata Ndagas kwa mbwembwe
Full kuvaa suti za marangi rangi, mdomoni majungu mengi wanyakyusa nenda kwake au mfukoni hayana kitu kbsaaa
 
Utakufa Maskini wewe sisi Tunasema LACK OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS wakati nyie sijui mnajiita wenye elimu mnafikiri kwamba LOVE OF MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILS!

Halafu kwanza una Elimu gani Kijana!
Umevimbiwa viporo unaanza kutapika bila aibu.
Siwezi kubishana na chizi kama wewe
 
Acha mambo ya ajabu, una uhakika hao wanatoa kafara au juhudi zao binafsi ndo maana wanawatawala kwenye mbeya yenu, mnashindia majungu mpaka wanaume, full kujisifia wenzenu mbeya yote maduka yao wanachuma wanapeleka kwao
Ongea kwa point,
Anaetawala Mbeya ni nani?
 
Pale mjini wamechagua jamaa mnyosha vidole vya kati, haongei cha maana ila angalia vjna wa mbeya wanavyomsifia rais wao kuendekeza ukanda uzandiki ndio kilichofanya mbeya kuanza kupitwa na iringa
 
Back
Top Bottom