Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Wana feel inferior sana wakikutana na jamii nyingne ndo maana wanaonekana wapoleMbeya imegawanyika sikuhizi kikanda, , , Huenda unazungumzia Songwe ndiko wanako patikana vijana watanashati na wasitaarabu wasio penda bugdha!
Mbeya mjini ilivyo pangiliwa tu kama ndo halmashaur flani unahisi bado hujafika mjiniSina povu ongea kwa point, hivi mwanaume unaongea hivyo kama ........
Unasikitisha sana
Ongea ukweli tu mkuu kwa nini mbeya inaongoza kuwa na makanisa mengi na bado matukio ya kichawi yameshamiriMchawi anamjua mwenzake. Nasikia huwa mna wanga wote
Ni kweli mkuu, lakini hivi karibuni vijana wa Mbeya wamekuwa wanaiga tabia za vijana wa ArushaHe he hee. Mkuu, hao ni wa Arusha. Kule ambako kila mtu ni billionaire....
Natania jamani...sio kweli.
nmeishi mbeya nmeshuhudia mwenyewe vitimbi vyaoSio kweli, acha chuki binafsi.
Tanzania hii hamna mkoa usio na uchawi au kwenu mkoa gani?
Ukweli uwekwe wazi tu mkuu maana nachokiongea nina ushahidi kbsaWewe utakuwa shoga sio bure, maana haiwezekani mwanaume ukawa na akili za kichoko namna hiyo
13 centigrades siku ambayo ilinipiga nikaamua kuchukua thermometer niangalie...sijuwi other days inakuwaje...iringa sijui kwakweliVipi hali ya hewa mkuu? Ni baridi sana kama iringa
Bhaleke abhakanyammoto abha!Gwa kughu uju??
Hilo halina ubishi ni namna ambavyo pia watoa habari wapo kila kona , , so hulahisisha kujulikana kwa matukio kwa haraka na kila tukio, , tofauti na mikoa mingine mambo yanafichwa sana then tunafikiri ni salamaOngea ukweli tu mkuu kwa nini mbeya inaongoza kuwa na makanisa mengi na bado matukio ya kichawi yameshamiri
Kwasababu amekataa kuwa mtumwa wa wachagg kama vijana wa mbeya walivyo
Du! Mkuu hivi siku hizi unaweza kujivunia manzese kisa wame banana!?Ni kweli mkuu, lakini hivi karibuni vijana wa Mbeya wamekuwa wanaiga tabia za vijana wa Arusha
MuafakaWote wanaoongea mabaya , hawajafika Mbeya, Jambo moja tu kwa watu wa Mbeya in hawataki kuonewa au kudharauliw. Wanataka haki itendeke. Hi si kosa.
Ni kweli wapole ila wachawi/washirikina kinoma (makazini na wanawake kwe mapenzi)
naomba niishie hapa tuu
MuafakaMbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc
Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede
Wako juu kias flani...
HujielewiSasa hivi ni mtumwa wa wasukuma utumwa ni utumwa